Wito: Waliomrekodi na kusambaza video ya Mbunge mstaafu Prof Jay akiwa ICU wachukuliwe hatua

Yani huwa nakaa nawaonea huruma watu maarufu hapa nchini yani wasijambe tu taarifa ziko kwenye app? Maisha gani hayo?Bora mie kajamba nani naweza kujamba kwa amani
 
Hiki kitendo kimefanyika si Cha kiungwana hata kidogo na kimefanywa na watu ambao huwezi kutegemea.

Inadaiwa kuwa madaktari na wauuguzi waliokua ICU wakimhudumia Prof J wamechukua video na kwenda kumuuzia yule dada ili aisambaze mtandaoni. Sio uungwana hata kidogo.

Serikali kupitia hiyo video mnaweza kuwajua waliofanya hivi na nashauri wachukuliwe hatua kali sana. Itumike namna ya kuwabaini waliofanya hivi najua mna mkono mrefu na hamshindwi.

Mtu yupo ICU amelazwa anapigania uhai wake, mnamhudumia kumbe mnarecord. Amewafanyiaa kitu gani kibaya huyu hadi mfikie huko?

Umejuaje kuwa aliye rekodi wauguzi na wasio wageni wanaokuja kumuona mgonjwa?

Wewe ulikuwepo wakati wauguzi wakirekodi?

Kwanini unakimbilia kuamini ni wauguzi na Sio wageni wake ?
 
Mazingira ya kumuhudumia mgonjwa na mazingira ya kumsalimia mgonjwa yanafanana? Eitherway, Kwahiyo huyo Mange anaruhusiwa kudhalilisha watu kisa aliyerekodi ni ndugu, jamaa au rafiki?
 
Nimeiona. Nimemaanisha ni vigezo gani vimetumika kuwatuhumu madaktari? Je ndugu hawezi kufanya hivyo?
Nilishawahi kuwa na mgonjwa ICU na tuliruhusiwa kuingia mmoja mmoja
Good point, other than Hospital staffs kuna multiple visitors wa mgonjwa, there is always other sources other than...... what if .......thanks

Pia ifahamike ya kwamba kwenye ugonjwa hakuna aibu, jamani ugonjwa wa The MC a. k. a. Profesa J ni wa kila mmoja wetu nyakati zozote zile we are susceptible to kidney failure, Mungu wetu atusaidie naogopa siwezi hata kuthubutu kumcheka zaidi nasikitika na kuwa na nafsi ya huruma na Mungu atende juu yake awe shuhuda majaaliwa arejee kwenye afya tele.
 
Nani kaongelea aibu, hapa tunaongelea udhalilishaji unaosukumwa na tamaa ya pesa, huwezi kusambaza video ya mtu anayepigania maisha yake kitandani na kuondoa kabisa faragha yake, au video mtu anaekaribia kufariki akiwa anafanya toba yake ya mwisho, totally inhumane, unyama ulioje? Angekuwa ndugu yako ndio anatubu kabla hajafa halafu mtu anaisambaza sio kwa upendo, bali njaa ndio inamsukuma, ungejisikiaje? Pia mazingira ya kumhudumia mgonjwa na mazingira ya kumsalimia mgonjwa yanafanana?
 
Rafiki jazba ya uandishi haiponyi hilo the idea is maji yamemwagika then we draw the positive from what we see and reflect on ourselves, the future and the horizon is for us all. Mungu mwema am happy that Profesa J has had a great impact in my joyous life, The greatest MC.
 
Back
Top Bottom