FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Kuflag ya nini, tunapiga pini hapa hapa nchini, hatuezi kuendekeza ujingaWatu wanatakiwa wai flag hiyo app as inappropriate google wanaweza wakaja kuifungia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuflag ya nini, tunapiga pini hapa hapa nchini, hatuezi kuendekeza ujingaWatu wanatakiwa wai flag hiyo app as inappropriate google wanaweza wakaja kuifungia
Mtu anatengeneza mamilioni ya pesa kupitia kudhalilidha watu halafu serikali inamuacha tu. Not fair jamani. Kama upo kwenye kitengo fanyeni jambo kuokoa jamiiKuflag ya nini, tunapiga pini hapa hapa nchini, hatuezi kuendekeza ujinga
Hiki kitendo kimefanyika si Cha kiungwana hata kidogo na kimefanywa na watu ambao huwezi kutegemea.
Inadaiwa kuwa madaktari na wauuguzi waliokua ICU wakimhudumia Prof J wamechukua video na kwenda kumuuzia yule dada ili aisambaze mtandaoni. Sio uungwana hata kidogo.
Serikali kupitia hiyo video mnaweza kuwajua waliofanya hivi na nashauri wachukuliwe hatua kali sana. Itumike namna ya kuwabaini waliofanya hivi najua mna mkono mrefu na hamshindwi.
Mtu yupo ICU amelazwa anapigania uhai wake, mnamhudumia kumbe mnarecord. Amewafanyiaa kitu gani kibaya huyu hadi mfikie huko?
Mazingira ya kumuhudumia mgonjwa na mazingira ya kumsalimia mgonjwa yanafanana? Eitherway, Kwahiyo huyo Mange anaruhusiwa kudhalilisha watu kisa aliyerekodi ni ndugu, jamaa au rafiki?Umejuaje kuwa aliye rekodi wauguzi na wasio wageni wanaokuja kumuona mgonjwa?
Wewe ulikuwepo wakati wauguzi wakirekodi?
Kwanini unakimbilia kuamini ni wauguzi na Sio wageni wake ?
Good point, other than Hospital staffs kuna multiple visitors wa mgonjwa, there is always other sources other than...... what if .......thanksNimeiona. Nimemaanisha ni vigezo gani vimetumika kuwatuhumu madaktari? Je ndugu hawezi kufanya hivyo?
Nilishawahi kuwa na mgonjwa ICU na tuliruhusiwa kuingia mmoja mmoja
je unajua ICU ni wapi na kina nani wanaruhusiwa kuingia hukoLabda waliokuja kumsalimia mgonjwa
Kwanini hiyo app wasii ibani tu?Dawa ni moja tu, acheni kulipia hiyo app ya umbea, hivi waTz mtaacha lini umbea lakini?!
Kesho ikiisha, hukuti hiyo takataka ikifanya kazi hapa nchini, imetosha!Kwanini hiyo app wasii ibani tu?
Nani kaongelea aibu, hapa tunaongelea udhalilishaji unaosukumwa na tamaa ya pesa, huwezi kusambaza video ya mtu anayepigania maisha yake kitandani na kuondoa kabisa faragha yake, au video mtu anaekaribia kufariki akiwa anafanya toba yake ya mwisho, totally inhumane, unyama ulioje? Angekuwa ndugu yako ndio anatubu kabla hajafa halafu mtu anaisambaza sio kwa upendo, bali njaa ndio inamsukuma, ungejisikiaje? Pia mazingira ya kumhudumia mgonjwa na mazingira ya kumsalimia mgonjwa yanafanana?Good point, other than Hospital staffs kuna multiple visitors wa mgonjwa, there is always other sources other than...... what if .......thanks
Pia ifahamike ya kwamba kwenye ugonjwa hakuna aibu, jamani ugonjwa wa The MC a. k. a. Profesa J ni wa kila mmoja wetu nyakati zozote zile we are susceptible to kidney failure, Mungu wetu atusaidie naogopa siwezi hata kuthubutu kumcheka zaidi nasikitika na kuwa na nafsi ya huruma na Mungu atende juu yake awe shuhuda majaaliwa arejee kwenye afya tele.
Itakua jambo jema sana, anachafua watu mno na hawana nafasi ya kujiteteaKesho ikiisha, hukuti hiyo takataka ikifanya kazi hapa nchini, imetosha!
Rafiki jazba ya uandishi haiponyi hilo the idea is maji yamemwagika then we draw the positive from what we see and reflect on ourselves, the future and the horizon is for us all. Mungu mwema am happy that Profesa J has had a great impact in my joyous life, The greatest MC.Nani kaongelea aibu, hapa tunaongelea udhalilishaji unaosukumwa na tamaa ya pesa, huwezi kusambaza video ya mtu anayepigania maisha yake kitandani na kuondoa kabisa faragha yake, au video mtu anaekaribia kufariki akiwa anafanya toba yake ya mwisho, totally inhumane, unyama ulioje? Angekuwa ndugu yako ndio anatubu kabla hajafa halafu mtu anaisambaza sio kwa upendo, bali njaa ndio inamsukuma, ungejisikiaje? Pia mazingira ya kumhudumia mgonjwa na mazingira ya kumsalimia mgonjwa yanafanana?
Mkuu kama VIP mpige pin hata saivSubiri uone, maana hatujuani humu, ila wewe subiri uone...
Akisalimiana na Mama ndio anaruhusiwa kuandika Udaku na kuumiza Watu?Si alisalimiana na mama huko Marekani huyu? Au sio huyo?
Waadhibiwe? Wangapi Mkuu? Aadhibiwe yeye aliyerusha Video!Waaadhibiwe ASAP!!!!!
Wee Huoni ule Wembamba wake? Ni shauri ya hiyo roho mbaya!Mange ana roho mbaya pia
Why asireject video kama
Hizo?
Hawaruhusu kasalimisalimia lakini wanaruhusu kutembelea mgonjwaICU wanaruhusu watu kusalimia kusalimia.?