Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Nimemaliza kuangalia hotuba ya Tundu Lissu kwenye Mkutano wa Bawacha.
Niseme tu, this guy is gifted. Tumshukuru sana Mungu kwa kutupa huyu mtu wakati huu. Tumshukuru Mungu kwa sababu hakuruhusu mtu huyu afe mwaka 2017 kwa sababu alijua kuna wakati tutamuhitaji.
Najua mnajua namna gani nchi hii ilivyo kwenye hatihati ya ku collapse kutokana na kuwa dominated na kundi la watu wenye uchu wanaoila kama wanavyopenda bila kujali kesho yetu kama Taifa.
Najua mnaelewa namna gani siasa za nchi hii zinavyoliathiri Taifa hili hadi tunashindwa kupiga hatua kubwa za kimaendeleo.
Najua mnajua njia pekee ya kutoka hapa ni Kupata Katiba Mpya ambayo itatupa mifumo imara na sio kutegemea watu ambao wanaliharibu taifa letu.
Wito wangu kwenu. Mtumieni Tundu Lissu sasa, na hakikisheni anatumika vizuri kutupatia Katiba Mpya iliyo bora inayojenga mifumo imara itakayohakikisha Taifa hili kuwa imara hata miaka 500 ijayo.
Huyu mtu yupo hai leo kwa kutimiza kusudi la Mungu kwa Tanzania. Kama kumpa Ulinzi mpeni, kama kupush ajenda zake ili turekebishe mambo yanayolikabili Taifa naomba mzipush hizi ajenda zake ili tupate Katiba Bora itayaotengeneza Tanzania imara. Msipofanya haya nina uhakika kabla hamjafa mtashuhudia Taifa hili likifa na kuanguka completely na mtajutia sana.
Mungu awabariki.