Wito wangu kwa Wanawake: Achaneni kabisa na usafiri wa bodaboda, sio salama kwenu

Kwa kweli mi napanda bajaji bodaboda sitakagi
 
wenyewe wana boda boda wao,sijui kama utaeleweka[emoji41][emoji41][emoji41].

mimi natamani polisi wapewe mamalaka ya kutandika fimbo bodaboda kama kule india[emoji1787][emoji1787][emoji1787],labda ndio kitu wataelewa.
 

wangekuwa na nia njema na jamii wangekuwa wanatumia muda wao hata huko space kutoa elimu kwa jamii kama hizi.

ila muda wote siasa tu.
 
Ha

Harafu nywere bandia sio nzuri. Mara nyingi sana naona watu wanawashwa harafu nywere bandia huwa ndio SABABU.
Harafu nywere bandia zinaleta ukurutu na papasi mwilini.
Harafu nywere bandia sizipendi ila Basi tu
NYWERE [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787] bandia...

ndio sababu!

Aisee!
 
wangekuwa na nia njema na jamii wangekuwa wanatumia muda wao hata huko space kutoa elimu kwa jamii kama hizi.

ila muda wote siasa tu.
Chadema ni chama Cha siasa ulitaka wahubiri dini?
 
Nilishuhudia mdada pale flyover za ubungo mdada yupo kwenye bodaboda amekaa kiupande kama kawaida yao. Yule boda akaminya break ya ghafla yule dada anatoka mzima mzima kutokea juu ya flyover adi down. Lol alifariki palepale, mdada mrembo hakupata ata nafasi ya kulia
 
Ajali ni ajali lakini Kuna ajali zinaweza kuepukwa. Huku Chugga huwa sipandi bodaboda ya dereva aliyevaa skin jeans na buti , koti la kibishoo, kofia isiyo helmet na anayeonekana ni under 30 years sipandi
 
Huyo wa helment hajitambui ila wa kavu anajitambua na kuijali dunia.
 
Sema na hawa wadada wanakaa kibishoo sana kwenye pikipiki eti anakaa mwisho kabisa kwenye chuma alafu hashikilii anachojua ni kujibinua tu kwahyo boda anapo shika break anakua hana balance anaanguka kama gunia
 
Sema mademu sijui kwann wanakaaga kiupande upande
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…