jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 36,197
- 29,717
Ni muda muafaka sasa wa kubadilisha muelekeo wa kutweka jahazi la mama Tanzania.
Wenzetu duniani wanakimbia sana kwenye swala la teknolojia ...na wanachokifanya ni kimoja tu...kila wazo liwe la mzaha au lenye ambition kubwa wanalifanyia kazi.
Turejee ideas na values za jamii ya kiasili iliyopo Tanzania mfano wahadzabe na wamasai na bila kupoteza muda tuchukue ideas zao na kuzimordenize.
Hapa tutaenda sambamba na teknolojia.
Kila mwanafunzi kuanzia darasa la 5 aanzishiwe au aanze project ya maisha yake..asaidiwe kuiboresha akue nayo hadi akifika chuo kikuu aweze kumalizia implimentation.
Nayaweka haya ili tuanze kujiandaa na iwe kumbukumbu kwa vizazi vijavyo...pengine sisi hatukupata fursa hii.
Tusikubali ngwini wababe ajenda za majadiliano ya kitaifa ambapo kutwa kucha ni kuomba katiba mpya ...upuuzi usio na tija kwani hata USA Kwenye katiba bora tunaona hakuna daftari la wapiga kura.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
JF THE HOME OF GREAT THINKERS.