Wizara inayohusika na Sayansi na teknolojia ije na Sera ya kuharakisha maendeleo ya teknolojia ya Anga za mbali

Wizara inayohusika na Sayansi na teknolojia ije na Sera ya kuharakisha maendeleo ya teknolojia ya Anga za mbali

Hata USA Matundu ya vyoo hayatoshi yanajengwa kila kukicha ,njaa ipo,majanga na athari zake zipo,wizi wa kura upo na mauzauza yote yapo ila hawaachi kufanya exploration.
Sawa tuna mengi ya kufanya kabla ya kufanya space exploration.

Kwa nini kuzalisha kwa gharama kile ambacho unaweza kukipata kwa bei nafuu. Mkuu jingalao
 
Sawa tuna mengi ya kufanya kabla ya kufanya space exploration.

Kwa nini kuzalisha kwa gharama kile ambacho unaweza kukipata kwa bei nafuu. Mkuu jingalao
Kwa nini tunataka kuwalazimisha wahadzabe waishi kama mfalme wa uingereza ndio tuwabatize kuwa wameendelea??Hiyo ndio misheni ya kijinga tuliopandikizwa kuifanya wakati wenzetu wanarudia misingi ya maisha.
 
Unadhani Technology wanaitoa wapi?
Vijana wa siku hizi mu wavivu sana kuelewa
Taja hizo technology za wahadzabe na wamasai hapa.

You cant be serious unaongelea Rocket Science alafu the same time unatuwekea wamasai hapa.
 
Kwa nini tunataka kuwalazimisha wahadzabe waishi kama mfalme wa uingereza ndio tuwabatize kuwa wameendelea??Hiyo ndio misheni ya kijinga tuliopandikizwa kuifanya wakati wenzetu wanarudia misingi ya maisha.
Jamaa unatawaliwa na hisia kuliko uhalisia wala fact, wahdazabe ni poor society yenye umasikini na kuishi primitive life maisha ya zama za mawe. Falme ya uingereza ni wealth modern na classic life well being.

Punguza Hisia unatumia hisia
 
Huko tunaenda mbali sana. Nataman wanasayansi watafiti hihi kwann mpaka sasa watu hawana vyoo, tuna ardhi kubwa na ya rutuba lakini tumeshindwa kuzalisha chakula Cha kutosha, kwann watoto mashuleni wanakaa chini na kukosa mlo wa mchana, kwann na imewezekanaje watu kutumia maji ya madimbwi lakini bado wanapigia kura watawala walewale.
Umesema ukweli kabisa! Anga za juu??? Wako bize na uchawa wa kipumbavu sana!
 
Back
Top Bottom