Huko tunaenda mbali sana. Nataman wanasayansi watafiti hihi kwann mpaka sasa watu hawana vyoo, tuna ardhi kubwa na ya rutuba lakini tumeshindwa kuzalisha chakula Cha kutosha, kwann watoto mashuleni wanakaa chini na kukosa mlo wa mchana, kwann na imewezekanaje watu kutumia maji ya madimbwi lakini bado wanapigia kura watawala walewale.