Sasa rea ndo tanesco?Hasara inatoka wapi wakati ukinunua umeme unalipishwa Kodi ya Rea,
Anayepata hasara ni sisi wananchi siyo Tanesco.
Absolutely correct, wawafungie umeme bure, then malipo yawe kwenye LUKUTena mteja kulipa 27,000 bado ni nyingi kwa sababu atawalipa umeme wenu maisha yake yote. Ilitakiwa umeme ufungwe bure
Ni Watanzania wangapi wana shs 1,000,000/=kulipa nguzo za umeme, tembea uone.Mnaosema huduma iwe bure hamjui jinsi ilivyongumu kupata umeme tanesco kwa hiyo 27000/=, ni Bora ulipie million 1 upate umeme ndani ya mwezi kuliko kulipia 27000 uupate baada ya miaka miwili,
"Kulipia nguzo" ni lugha tu iliyozoeleka ikimaanisha malipo ya umeme nje ya zile mita 30 zilizoainishwa. Kusema nguzo inamaanisha na viambata vyote vinavyokamilisha hiyo huduma.Hakuna gharama za kulipia nguzo. Ukilipia nguzo maana yake upewe nguzo tu na usipate umeme. Sema gharama za kuwekewa umeme ndani ya mita 70 mpaka 120.
Serikali ipi sasa inayobeba hizo gharama? Kipi ni chanzo kikubwa cha mapato cha REA kwa kuanzia?Acha uongo wako wewe!
Umeme wa 27,000 ni wa REA ambao gharama zake zinabebwa na selikali!
Sehemu ambayo hukuna mradi wa REA ukitaka umeme na nguzo laki 5 inakuhusu.
Kwani tanesco inamilikiwa na nani?Wizara ya Nishati umeshindwa kutatua kero za kuunga umeme kwa wananchi na badala yake imezidisha ugumu wa kupata huduma ya umeme hasa kwa wateja Wanahitaji nguzo 1,2,3,4,5,6,7,8,9, Hadi kumi.
Wizara ilitoa sharti gumu kwa TANESCO inayojiendesha kihasara kupunguza gharama za umeme wa nguzo na kufanya zote ziwe 27,000/= yaani mtu atalipia nguzo moja 27000 badala ya 177000/= nguzo mbili atalipia 27000/= badala ya 385000 na hata mtu akitaka nguzo 10 atalipia 27000/=
Maelekezo hayo ni hatua nzuri kwa machoni kwa wengi lakini kiukweli watu Wana zaidi ya mwaka mmoja hawajaungiwa umeme na wamelipia nguzo 27000. Kiuhalisia TANESCO hawana bajeti ya kulipia hizo nguzo, hivyo wananchi wengi kukosa umeme.
Ukitaka kulipia gharama halisi tanesco hawataki wanaogopa kufukuzwa kazi lakini hapo hapo mteja hapati huduma.
TANESCO wanadai walilazimishwa na serikali kuwalipisha watu 27000, Ila wao hawakuridhia, hivyo kwao ni sawa wananchi kuendelea kukosa umeme. Naamini serikali itatatua shida hii na kuacha kuitwika tanesco mizigo na lawama
Aisee ujui unachokisema mzee hilo shirika likibinafishiwa, Umeme hautakuwa huduma tena bali anasa hamtaweza ku afford kuanzia new connection mpaka monthly bill acha liendelee kuwa state owned kwa 100% mana hata hio connection ya mjini ya 321K bila nguzo ni cheap sana sana achilia mbali ile ya vijijini 27k Yani hizo sio bei realistic kabisa ndo mana tanesco anajiendesha kwa hasara na serikali ndio inali fund ili wananchi mpewe service nkikupa breakdown ya new connection hakika utafunga mdomoHilo shirika Ni mzigo tu...nawaza tu ...ingependeza LIKABINAFSISHWA...maana hakuna namna Sasa!!!ah!
3% unayolipa haiwezi kutosha kufund izo project za Rea mana nyingine zipo remotely sana kiasi kwamba mpaka wakandarasi hukimbia na contract kupewa JKT, Misaada ya wafadhili sio reliableUnavyonunua umeme kwa LUKU ujue kuna asilimia ambayo unaichangia REA, na EWURA...unavyosema TANESCO hawana budget hueleweki, REA wanakusanya mabilioni kwa mwezi jumlisha na za wafadhili hiyo 27,000/= ni kiasi sahihi kabisa kwa mwananchi kulipa wewe mwananchi usiye na shukrani...jaribu kufanya uchunguzi kabla ya kuropoka
Mbona ndio zinafund sasa hivi?ni vijiji vichache sana vimebaki navyo vitaisha, ni suala la muda tuu3% unayolipa haiwezi kutosha kufund izo project za Rea mana nyingine zipo remotely sana kiasi kwamba mpaka wakandarasi hukimbia na contract kupewa JKT, Misaada ya wafadhili sio reliable
Government of Tanzania ana 100% SharesKwani tanesco inamilikiwa na nani?
Ukinunua LUKU kuna percent unakatwa kwa ajili ya REA, pia kuna hela zinatolewa na wafadhili kwa ajili ya REA.Serikali ipi sasa inayobeba hizo gharama? Kipi ni chanzo kikubwa cha mapato cha REA kwa kuanzia?
Sector binafsi ikiingia kwenye iyo industry umeme hautakuwa bei rahisi tena imagine mtu anakuwa connected kwa 27k kwa breakdown hiiSekta binafsi iruhusiwe kushindana na TANESCO kusambaza umeme. Bila kufanya hivyo TANESCO hawatakaa wazinduke kutoka usingizini
Umeme wa REAUkinunua LUKU kuna percent unakatwa kwa ajili ya REA, pia kuna hela zinatolewa na wafadhili kwa ajili ya REA.
Au wewe unahisi hela za umeme wa REA anatoa nani?
Watu wanataka waunganishiwe umeme dezo etiSector binafsi ikiingia kwenye iyo industry umeme hautakuwa bei rahisi tena imagine mtu anakuwa connected kwa 27k kwa breakdown hii
-Survyed Bure
-Transport cost Bure
-Labour charge bure
-Material cost bure
Mteja anacholipa ni Value added Tax VAT tu 27K bado hapo akipata emergency hata iwe 60kM atafatwa na kuhudumiwa bure kabisa hakuna Monthly service charge ambapo awali ilikuwepo ila serikali ikaifuta ilikuwa 6k bado mteja huyo huyo anauziwa umeme kwa 100 per unit? Can you imagine ni mwekezaji gani anaweza kufanya iyo biashara even if Rea iko contributed na Watumiaji wote wa umeme kwa 3% kwa kila purchase ila still serikali inabeba mzigo mkubwa sana na inafanya poa katika hili
Sector binafsi ikiingia kwenye iyo industry umeme hautakuwa bei rahisi tena imagine mtu anakuwa connected kwa 27k kwa breakdown hii
-Survyed Bure
-Transport cost Bure
-Labour charge bure
-Material cost bure
Mteja anacholipa ni Value added Tax VAT tu 27K bado hapo akipata emergency hata iwe 60kM atafatwa na kuhudumiwa bure kabisa hakuna Monthly service charge ambapo awali ilikuwepo ila serikali ikaifuta ilikuwa 6k bado mteja huyo huyo anauziwa umeme kwa 100 per unit? Can you imagine ni mwekezaji gani anaweza kufanya iyo biashara even if Rea iko contributed na Watumiaji wote wa umeme kwa 3% kwa kila purchase ila still serikali inabeba mzigo mkubwa sana na inafanya poa katika hili
Hata huyo mtu binafsi atalipisha gharama ya kuunganishiwa umemeSekta binafsi iruhusiwe kushindana na TANESCO kusambaza umeme. Bila kufanya hivyo TANESCO hawatakaa wazinduke kutoka usingizini
Hata huyo mtu binafsi atalipisha gharama ya kuunganishiwa umeme
Ova