Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 15,460
- 24,233
Yaani unalipia nguzo siku ukiondoka kwani unaondoka nayo (au nguzo ni mali yao) wenyewe waconcetrate kusambaza umeme pote sababu ndio kupata wateja wenyewe hayo mambo ya kulipia miundombinu ambayo sio yako ni kuleta ukakasi (ukizingatia pia kila mwananchi akilipia Luku anakatwa REA)
Kama ni kulipia hayo makato basi siku mteja akianza kulipia luku arudishiwe hizo pesa alizotoa
Kama ni kulipia hayo makato basi siku mteja akianza kulipia luku arudishiwe hizo pesa alizotoa