Wizara ya Elimu huku hali ni mbaya! Watoto mnawatengenezea Ulemavu

Wizara ya Elimu huku hali ni mbaya! Watoto mnawatengenezea Ulemavu

Kama mzazi unakosa 3500 kwa mwezi kwa ajili ya binti yako hupaswi ishi, watakiwe ufe
Ikumbukwe kuna familia zinakosa hata hela ya Daftari moja... la sh 500. Je nao inapaswa wafe?
 
Sio wote wanaosoma shule karibu na Makwao hata hao wa Mkoani.

Kutokana na uchache wa Shule inalazimika mtt kutembea umbali mrefu kufata huduma ya shule. Lipo wazi
Hakuna mtoto anayetembea umbali mrefu kama wapo ni wachache sana waliowengi wanatumia baiskeli.Tuulize sisi tulioko vijijini, yawezekana wewe hata goba hupajui na ndio maana tatizo la dar unaona ni la nchi nzima.
 
Kijana, mimi nafanya kazi ktk NGO na kwa sasa nipo naratibu shuguli mbalimbali hivyo nazunguka Mikoa mbalimbali ninaona yanayoendelea. Watoto wanapata changamoto nyingi na wengine wanaliwa na Wanyama wakiwa wanaend huko shuleni.

Wengine wanabakwa etc.

Naongea kitu ambacho nakifanyia kazi.
 
Hapo umekaa kwa shemeji yako
Karibu sana Songwe huku utakutana na sisi wanaume haswaa tusiolalamika. Tunakupa huduma ya kiume kweli achana na hao wa huko Dar wanakupapasa papasa. Huku sisi tunakupelekea moto kweli kweli... karibu sana huku ukipewa show moja utaachana na hyo kazi inayokuweka huko mjini ya kuuza utamu
 
Na ubaya hayo wanayoyasoma 80% hayana faida kwa Dunia ya sasa na wala hayamjengei akili ya kujiongeza.
Tusijali. Hili la %80 Mh: Mama alishaliona tayari. Mtaala mpya uko poa sana kwa Taifa letu.
Darasa la 1-6.
Mtoto akifaulu la 6 kwa combination, ataenda Form One ktk shule maalu ya masomo yake hadi Form Four.
Asipofaulu la 6, ataendelea na masomo ktk shule yake Form One hadi Form Four.
Hakuna tena darasa la 7. Kizuri kuliko yote ni kwamba kila mwanafunzi atakaemaliza SECO, atasoma fani/taaluma anayoitaka mwenyewe kwa faida ya kuajiriwa na kujiajiri binafsi, pamoja na historia ya Tanzania kwa Uzalendo na maadili, na akimaliza Form 4 atapata vyeti viwili, cha Elimu/Seco na Fani/Taaluma.

TUOMBE MUNGU YATIMIE.
 
Na ubaya hayo wanayoyasoma 80% hayana faida kwa Dunia ya sasa na wala hayamjengei akili ya kujiongeza.
Ndio na Bado Kuna sera pendekezwa ya Elimu ukiambiwa umefanyiwa kazi na maprofesa utashangaa kabisa .
Upumbavu mtupu!

Na masomo ndio yameongezeka ukiangalia niambo ya kijinaga kijinga TU ya kumfanya mtanzania kuwa mtumwa wa ajira badala ya kuwa mgunduzi na mtoa ajira.
 
Tusijali. Hili la %80 Mh: Mama alishaliona tayari. Mtaala mpya uko poa sana kwa Taifa letu.
Darasa la 1-6.
Mtoto akifaulu la 6 kwa combination, ataenda Form One ktk shule maalu ya masomo yake hadi Form Four.
Asipofaulu la 6, ataendelea na masomo ktk shule yake Form One hadi Form Four.
Hakuna tena darasa la 7. Kizuri kuliko yote ni kwamba kila mwanafunzi atakaemaliza SECO, atasoma fani/taaluma anayoitaka mwenyewe kwa faida ya kuajiriwa na kujiajiri binafsi, pamoja na historia ya Tanzania kwa Uzalendo na maadili, na akimaliza Form 4 atapata vyeti viwili, cha Elimu/Seco na Fani/Taaluma.

TUOMBE MUNGU YATIMIE.
Wacha tusubiri tuone. Je hao walimu wa kufundisha hizo fani maalumu ndio hawa hawa? Au wataajiri?
 
Ongeza na la kuamka Saa kumi alfajiri
Nadhani wazazi tuanze ishi au somesha shule za karibu ili mtoto asiamke mapema.

Kama uwezo upo tafuta usafiri binafsi awe anapelekwa na kufuatwa

Mbona Wahindi wao hupeleka watoto na kuwasubiri hadi watoke?
 
Wacha tusubiri tuone. Je hao walimu wa kufundisha hizo fani maalumu ndio hawa hawa? Au wataajiri?
Sio kila mwanaume aendaye dukani hununua wengine hukopa ili mradi kutimize majukumu.
Hata kama ni wakukodi.
Tuombe yatimie maana ni jambo jema.
 
Kuhusu mzigo wa daftari sometimes ni ukolo wa wanafunzi wenyewe na walimu wao.
Baadhi ya shule wanafunzi wanaacha daftari shuleni na kuondoka na baadhi tu.

Wengine mnalalamika mitihani weekend huku mkichangishwa 500, hiyo sio pesa kubwa kabisa, mnawaonea walimu bure.
Jumamosi sio siku zao za kazi, ila wanafanya ili mtoto azoee mitihani asiwe na uogo kwenye mtihani wake wa mwisho, na inasaidia mno.
Inasaidia pia kuwajua wale slow learners na kuwapush wawe sawa na wenzao.

Yaani sh 2000 kwa mwezi ndo ikutoe mkuku mkuku hadi kwa Afisa elimu wakati elimu ni ya mwanao mwenyewe.

Mfumo wa elimu yetu bila mazoezi ya mara kwa mara hawa madogo hawatoboi. Mtaani michezo ni mingi vibanda vya magem ni vingi, magenge ya wahuni ni mengi.
Jumamosi akiwa busy shule , jumapili akapata muda kidogo wa kucheza na kujifanyia usafi mbona safi tu.
 
Wanaandaliw kuw wabeba mizogo

Nazn baadhi ya vifaa vingene vingebak shule kwenye droo ya mwanafunz

Mwanafunz akawa anarud ata na daftar 3 tuu, sasa shule mwanafunz anabeba chupa maji hii yote Tz kuw hatuna hata mifumo mizur ya maji mashulen[emoji1][emoji2484]
 
Nimecheka tu. Sisi tulikuwa tunabeba debe la mbolea kupeleka shule ama mzigo wa kuni. Ila katika ili tuwaonee huruma watoto.
 
Solution ni kumpeleka shule ya jirani, kwa o level tafuta shule za bweni maana Kule daftari zinahifadhiwa kwenye makabati madarasani
 
Watoto siku hizi wamekuwa kama PUNDA kwanini Waalimu wanawabebesha watoto mabegi mazito na makubwa kuliko hata kilo zao??

Je hakuna ratiba maalumu ya masomo?

Hili tatizo lipo kwa ngazi zote Msingi mpaka Sekondari.

Vitu vinavyobebwa ni kama ifuatavyo
1_ Sweta
2_Chupa la maji
3_Vitabu si chini ya nane
4_Madaftari kumi na kuendelea
5_Kompasi/Mkebe
6_Rangi boksi zima + Peni + Penseli
Na vitu vingine

Ukipiga mahesabu hapo si chini ya kilo 8 mtoto anabeba mgongoni na huyo mtoto:
  • Adandie daladala.
  • Huyo huyo atembee umbali mrefu.
  • Huyo huyo ashinde bila kula huko shule.
  • Huyo huyo awahi kuamka asubuhi (Zingatia mzigo anaozunguka nao mgongoni siku nzima)

Niulize swali: Hivi haiwezekani kukajengwa cabinets za kuhifadhi madaftari ya darasani huko huko shule?

Maswala ya Homework vitengenezwe vitabu/Daftari maalumu bila kumlazimu mtoto kutembea na midaftari mingi?

Hivi hakuna sophisticated mechanism itakayowaokoa hawa watoto?

Watoto wanatoka vibiongo wanaumwa migongo na kuchoka mno.

Ila sishangai maana hata waalimu nao wanamapochi makubwa wamejaza Kashata, ubuyu na Kababu hawawezi kuwa na huruma.

punda_ideology
Shule ya sekondari St Francis Girls' Mbeya tuna huduma za cabinet za kuhifadhia kila kitu cha mwanafunzi ..lakini pia ni hostel..karibu sana..
 
Back
Top Bottom