Gentlemen_
JF-Expert Member
- Nov 24, 2019
- 4,431
- 13,876
- Thread starter
- #81
Kuwatesa watoto sana.Vingine vinawahi nursery eti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuwatesa watoto sana.Vingine vinawahi nursery eti
Nawaza pia Maabara za hizo kazi au fani stadi.. je tumewaza kuhusu hilo?Sio kila mwanaume aendaye dukani hununua wengine hukopa ili mradi kutimize majukumu.
Hata kama ni wakukodi.
Tuombe yatimie maana ni jambo jema.
Nimekuelewa.Kuhusu mzigo wa daftari sometimes ni ukolo wa wanafunzi wenyewe na walimu wao.
Baadhi ya shule wanafunzi wanaacha daftari shuleni na kuondoka na baadhi tu.
Wengine mnalalamika mitihani weekend huku mkichangishwa 500, hiyo sio pesa kubwa kabisa, mnawaonea walimu bure.
Jumamosi sio siku zao za kazi, ila wanafanya ili mtoto azoee mitihani asiwe na uogo kwenye mtihani wake wa mwisho, na inasaidia mno.
Inasaidia pia kuwajua wale slow learners na kuwapush wawe sawa na wenzao.
Yaani sh 2000 kwa mwezi ndo ikutoe mkuku mkuku hadi kwa Afisa elimu wakati elimu ni ya mwanao mwenyewe.
Mfumo wa elimu yetu bila mazoezi ya mara kwa mara hawa madogo hawatoboi. Mtaani michezo ni mingi vibanda vya magem ni vingi, magenge ya wahuni ni mengi.
Jumamosi akiwa busy shule , jumapili akapata muda kidogo wa kucheza na kujifanyia usafi mbona safi tu.
Sahiv kuna kipindupindu mtt asipobeba maji ni hatari sana. Ingawa naskia walimu wanadoea maji na juice za wanafunziWanaandaliw kuw wabeba mizogo
Nazn baadhi ya vifaa vingene vingebak shule kwenye droo ya mwanafunz
Mwanafunz akawa anarud ata na daftar 3 tuu, sasa shule mwanafunz anabeba chupa maji hii yote Tz kuw hatuna hata mifumo mizur ya maji mashulen[emoji1][emoji2484]
Bila kusahau Jembe..Nimecheka tu. Sisi tulikuwa tunabeba debe la mbolea kupeleka shule ama mzigo wa kuni. Ila katika ili tuwaonee huruma watoto.
Safi sana... nimekaribiaShule ya sekondari St Francis Girls' Mbeya tuna huduma za cabinet za kuhifadhia kila kitu cha mwanafunzi ..lakini pia ni hostel..karibu sana..
Mkuu kumbuka hii ni Tanzania sio Uingereza.Nimekuelewa.
Kuhusu hela iwe miambili au mia moja. Au miatano sio tatizo. Tatizo ni kwamba wanashindwa nini kujumuisha hizo hela ktk Ada? Kama ni shule ya serikali kwanini Isiingizwe ktk bajeti huko Tamisemi walimu wapewe posho za muda wa ziada?
Ok turudi kwenye hoja nyingine, nimeona unapenda elimu ya kukariri ili mtu afaulu mitihani. Na sio uelewa.
Kama mwanafunzi ameelewa vzr haina haja ya kumchapa mitihani ya mara kwa mara!
Je mtaalaa wa Cambridge wanahuo utaratibu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unapishana na dogo anaenda shule kabeba begi kama pota anaeenda kupanda mlima
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Shule ya sekondari St Francis Girls' Mbeya tuna huduma za cabinet za kuhifadhia kila kitu cha mwanafunzi ..lakini pia ni hostel..karibu sana..
Tanzania hii hakuna hatakaijali mkuu.Nazungumza na mwanangu hapa sasa hv, anasoma shule binafsi, anasema walimu hawafuati ratiba, maana unakuta somo ambalo halipo leo mwalimu wake ndio anakuja darasani na anasema usipokuwa na daftari lake unapigwa. Kwa kweli wizara ya elimu iziangalie hizi shule binafsi. Mwanangu mpaka anapinda mgongo. Mtoto wa miaka 9 anabeba counter books 12, vitabu 6 n.k. yaani mpaka begi anapata tabu kulinyanyua
Nimeuliza swali jepesi hapo juu kuhusu mtaala wa Cambridge je wana huo utaratibu wa pepa za mara kwa mara?Mkuu kumbuka hii ni Tanzania sio Uingereza.
Ni kweli tunahitaji mabadiliko lakini kwa hali yetu ilivyo kwa sasa hatuna budi kuendana nayo.
Mtoto wa darasa la saba umfundishe hesabu leo aelewe, utegemee aje kufanya mtihani mwezi wa 9 bila kumfanyisha mazoezi ya hicho ulichomfundisha???
Nimeshangaa sana uliposema ati akielewa inatosha!! Ndgu wewe ulivyokua shule ulikua hujisomei au ulikua unasoma mambo mapya tu na ukishaelewa imeisha hiyo hupitii tena hadi siku ya pepa???
Kwani mkuu wewe uelewa wa mwanafunzi unaupimaje??
Anayepewa lawama si MWALIMU bali ni WIZARA ya ELIMU. maana wao wameshindwa kutengeneza Policy or Guidelines za kuwaongoza WAKUU Wa SHULE kuhusu hii shida.Nimwalimu peke yake analaumiwa au namzazi?