Gentlemen_
JF-Expert Member
- Nov 24, 2019
- 4,431
- 13,876
- Thread starter
-
- #61
Ikumbukwe kuna familia zinakosa hata hela ya Daftari moja... la sh 500. Je nao inapaswa wafe?Kama mzazi unakosa 3500 kwa mwezi kwa ajili ya binti yako hupaswi ishi, watakiwe ufe
Sawa, umeeleweka Mkuu.Wawapeleke shule zilizo karibu na makazi yao, mimi binafsi siku hizi singoji mtu/serikali inipambanie nafanya ninayoona yatafaa kwangu.
Hakuna mtoto anayetembea umbali mrefu kama wapo ni wachache sana waliowengi wanatumia baiskeli.Tuulize sisi tulioko vijijini, yawezekana wewe hata goba hupajui na ndio maana tatizo la dar unaona ni la nchi nzima.Sio wote wanaosoma shule karibu na Makwao hata hao wa Mkoani.
Kutokana na uchache wa Shule inalazimika mtt kutembea umbali mrefu kufata huduma ya shule. Lipo wazi
Kijana, mimi nafanya kazi ktk NGO na kwa sasa nipo naratibu shuguli mbalimbali hivyo nazunguka Mikoa mbalimbali ninaona yanayoendelea. Watoto wanapata changamoto nyingi na wengine wanaliwa na Wanyama wakiwa wanaend huko shuleni.Hakuna mtoto anayetembea umbali mrefu kama wapo ni wachache sana waliowengi wanatumia baiskeli.Tuulize sisi tulioko vijijini, yawezekana wewe hata goba hupajui na ndio maana tatizo la dar unaona ni la nchi nzima.
Mnoo.Tanzania ina elimu ya ovyo kuwahi kutokea.
Karibu sana Songwe huku utakutana na sisi wanaume haswaa tusiolalamika. Tunakupa huduma ya kiume kweli achana na hao wa huko Dar wanakupapasa papasa. Huku sisi tunakupelekea moto kweli kweli... karibu sana huku ukipewa show moja utaachana na hyo kazi inayokuweka huko mjini ya kuuza utamuHapo umekaa kwa shemeji yako
Tusijali. Hili la %80 Mh: Mama alishaliona tayari. Mtaala mpya uko poa sana kwa Taifa letu.Na ubaya hayo wanayoyasoma 80% hayana faida kwa Dunia ya sasa na wala hayamjengei akili ya kujiongeza.
Soon, Dr. Mama atarekebisha.Tanzania ina elimu ya ovyo kuwahi kutokea.
Ndio na Bado Kuna sera pendekezwa ya Elimu ukiambiwa umefanyiwa kazi na maprofesa utashangaa kabisa .Na ubaya hayo wanayoyasoma 80% hayana faida kwa Dunia ya sasa na wala hayamjengei akili ya kujiongeza.
Wacha tusubiri tuone. Je hao walimu wa kufundisha hizo fani maalumu ndio hawa hawa? Au wataajiri?Tusijali. Hili la %80 Mh: Mama alishaliona tayari. Mtaala mpya uko poa sana kwa Taifa letu.
Darasa la 1-6.
Mtoto akifaulu la 6 kwa combination, ataenda Form One ktk shule maalu ya masomo yake hadi Form Four.
Asipofaulu la 6, ataendelea na masomo ktk shule yake Form One hadi Form Four.
Hakuna tena darasa la 7. Kizuri kuliko yote ni kwamba kila mwanafunzi atakaemaliza SECO, atasoma fani/taaluma anayoitaka mwenyewe kwa faida ya kuajiriwa na kujiajiri binafsi, pamoja na historia ya Tanzania kwa Uzalendo na maadili, na akimaliza Form 4 atapata vyeti viwili, cha Elimu/Seco na Fani/Taaluma.
TUOMBE MUNGU YATIMIE.
Watt wadg under 7 yrs unapishana navyo saa 11 asubuhi. Vinasinzia tuOngeza na la kuamka Saa kumi alfajiri
Vingine vinawahi nursery etiWatt wadg under 7 yrs unapishana navyo saa 11 asubuhi. Vinasinzia tu
Nadhani wazazi tuanze ishi au somesha shule za karibu ili mtoto asiamke mapema.Ongeza na la kuamka Saa kumi alfajiri
Sio kila mwanaume aendaye dukani hununua wengine hukopa ili mradi kutimize majukumu.Wacha tusubiri tuone. Je hao walimu wa kufundisha hizo fani maalumu ndio hawa hawa? Au wataajiri?
Shule ya sekondari St Francis Girls' Mbeya tuna huduma za cabinet za kuhifadhia kila kitu cha mwanafunzi ..lakini pia ni hostel..karibu sana..Watoto siku hizi wamekuwa kama PUNDA kwanini Waalimu wanawabebesha watoto mabegi mazito na makubwa kuliko hata kilo zao??
Je hakuna ratiba maalumu ya masomo?
Hili tatizo lipo kwa ngazi zote Msingi mpaka Sekondari.
Vitu vinavyobebwa ni kama ifuatavyo
1_ Sweta
2_Chupa la maji
3_Vitabu si chini ya nane
4_Madaftari kumi na kuendelea
5_Kompasi/Mkebe
6_Rangi boksi zima + Peni + Penseli
Na vitu vingine
Ukipiga mahesabu hapo si chini ya kilo 8 mtoto anabeba mgongoni na huyo mtoto:
- Adandie daladala.
- Huyo huyo atembee umbali mrefu.
- Huyo huyo ashinde bila kula huko shule.
- Huyo huyo awahi kuamka asubuhi (Zingatia mzigo anaozunguka nao mgongoni siku nzima)
Niulize swali: Hivi haiwezekani kukajengwa cabinets za kuhifadhi madaftari ya darasani huko huko shule?
Maswala ya Homework vitengenezwe vitabu/Daftari maalumu bila kumlazimu mtoto kutembea na midaftari mingi?
Hivi hakuna sophisticated mechanism itakayowaokoa hawa watoto?
Watoto wanatoka vibiongo wanaumwa migongo na kuchoka mno.
Ila sishangai maana hata waalimu nao wanamapochi makubwa wamejaza Kashata, ubuyu na Kababu hawawezi kuwa na huruma.
punda_ideology