Wizara ya Ulinzi na Usalama inahitaji mtu mahsusi, Bashungwa bado hajakomaa

Mganguzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2022
Posts
1,604
Reaction score
3,715
Napongeza uteuzi wa Tax.

Ila bashungwa bado hajakomaa Kwa hiyo wizara, sijajua kwanini awamu hii ya sita inaogopa kufanya kazi na wakongwe, inawaondoa kwenye system watu mahsusi.

Hizi ndio zilikuwa nafasi za watu aina ya kabudi ni wakomavu.
 
Napongeza uteuzi wa tax. Ila bashungwa bado hajakomaa Kwa hiyo wizara ,,sijajua kwanini awamu hii ya sita inaogopa kufanya kazi na wakongwe ,inawaondoa kwenye systeam watu mahsusi. Hizi ndio zilikuwa nafasi za watu aina ya kabudi ni wakomavu.
Hii nchi ina viongozi wenye low self esteem,hawajiamini mpaka waumize au wakalipie mtu,Makamba,Mwigulu,Jafo,Turia akson,Azan zungu,Samia,Mpango,Hawa ni viongozi wasio na akili kabisa!!Wana Elimu kubwa lakini no intelligence,
Hawamfikii mkuu wa mkoa wa Njombe Mtaka,Mtaka alistahili awe Waziri mkuu,maana ana akili kubwa na maono kuliko hao machawa hapo juu,wanaofikri Swala la nguvu za kiume ndio tatizo kubwa hapa nchini,
Dunia inaongelea ukame,na maisha kupanda yenyewe yanafikiri nguvu za kiume ndio suluhisho
 
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Maisha ni inshu
Bashungwa acha akapambane na sisi acha tupambane
Mulamula ni legendary lakini kapumzishwa vipi hao wengine?
Zama za Vijana zinakuwa halisi mno kwa sasa
Ngoja tuone ila maisha yanapanda sana jaman
 
Wizara ya ulinzi ni wizara nyeti sana na inahitaji umakini sana kuongoza, kwa bashugwa hapo mama naona kachemka angemuacha huko huko TAMISEMI naona aliipatia vizur sana na tumeona maendeleo mengi kupitia tamisemi.. ila huko kwenye ulinzi sema tumpe mda tu
 
Hii nchi ina viongozi wenye low self esteem,hawajiamini mpaka waumize au wakalipie mtu,Makamba,Mwigulu,Jafo,Turia akson,Azan zungu,Samia,Mpango,Hawa ni viongozi wasio na akili kabisa!!Wana Elimu kubwa lakini no intelligence,
Hawamfikii mkuu wa mkoa wa Njombe Mtaka,Mtaka alistahili awe Waziri mkuu,maana ana akili kubwa na maono kuliko hao machawa hapo juu,wanaofikri Swala la nguvu za kiume ndio tatizo kubwa hapa nchini,
Dunia inaongelea ukame,na maisha kupanda yenyewe yanafikiri nguvu za kiume ndio suluhisho
Wewe bila Shaka ndio naona Kama kichwa chako kinamatatizo yanayohitaji matibabu ya haraka Sana, kwa hiyo mtaka ndio atafanya majukumu ya Wizara zote ulizoziainisha hapo juu? Ukiona mtu anatumia matusi na lugha za matusi Kama ulivyofanya wewe Basi Ni dhahiri mtu huyo ana uelewa mdogo Sana wa kifikra na kimawazo, Kiufupi uwezo wako wa kufikiri ni mdogo ndio maana umeishia kushambulia watu hapa, usimpangie mh Rais wetu mpendwa watu wa kufanya nao kazi,
 
Napongeza uteuzi wa Tax.

Ila bashungwa bado hajakomaa Kwa hiyo wizara, sijajua kwanini awamu hii ya sita inaogopa kufanya kazi na wakongwe, inawaondoa kwenye system watu mahsusi.

Hizi ndio zilikuwa nafasi za watu aina ya kabudi ni wakomavu.
Hatuna Wizara ya hivyo hapa Tanzania.
 
Hii nchi ina viongozi wenye low self esteem,hawajiamini mpaka waumize au wakalipie mtu,Makamba,Mwigulu,Jafo,Turia akson,Azan zungu,Samia,Mpango,Hawa ni viongozi wasio na akili kabisa!!Wana Elimu kubwa lakini no intelligence,
Hawamfikii mkuu wa mkoa wa Njombe Mtaka,Mtaka alistahili awe Waziri mkuu,maana ana akili kubwa na maono kuliko hao machawa hapo juu,wanaofikri Swala la nguvu za kiume ndio tatizo kubwa hapa nchini,
Dunia inaongelea ukame,na maisha kupanda yenyewe yanafikiri nguvu za kiume ndio suluhisho
Wewe ni sawa na wale wapumbavu ambao mtu akiteukiwa nafasi Fulani ya kiutrndaji badala asaidie na kuleta tija huko unataka tena awe mwanasiasa ,sasa hapo unaua kipaji so usiwe mpumbavu.
 
Napongeza uteuzi wa Tax.

Ila bashungwa bado hajakomaa Kwa hiyo wizara, sijajua kwanini awamu hii ya sita inaogopa kufanya kazi na wakongwe, inawaondoa kwenye system watu mahsusi.

Hizi ndio zilikuwa nafasi za watu aina ya kabudi ni wakomavu.
Ukiwa na system isio taka challenge huna budi chaguwa ndio madam people ila kwakuwa accountabilty anabeba yeye let funga midomo
 
Napongeza uteuzi wa Tax.

Ila bashungwa bado hajakomaa Kwa hiyo wizara, sijajua kwanini awamu hii ya sita inaogopa kufanya kazi na wakongwe, inawaondoa kwenye system watu mahsusi.

Hizi ndio zilikuwa nafasi za watu aina ya kabudi ni wakomavu.
Kwamba tuendelee kuwarudisha kazini wastaafu kila mara hali ya kuwa nchi ni ya wote.

Kwani hao wakongwe unaowasema si walianza kuaminiwa wakiwa vijana ama walipewa madaraka wakiwa tayari wazee?

Acha fikra potofu wewe mzee mtu yeyote anaweza kupewa majukumu akayatimiza regardless ya umri wake.
 
Hii nchi ina viongozi wenye low self esteem,hawajiamini mpaka waumize au wakalipie mtu,Makamba,Mwigulu,Jafo,Turia akson,Azan zungu,Samia,Mpango,Hawa ni viongozi wasio na akili kabisa!!Wana Elimu kubwa lakini no intelligence,
Hawamfikii mkuu wa mkoa wa Njombe Mtaka,Mtaka alistahili awe Waziri mkuu,maana ana akili kubwa na maono kuliko hao machawa hapo juu,wanaofikri Swala la nguvu za kiume ndio tatizo kubwa hapa nchini,
Dunia inaongelea ukame,na maisha kupanda yenyewe yanafikiri nguvu za kiume ndio suluhisho
Mtaka ana akili kubwa kwa kipimo kipi hasa ulichojiridhisha nacho?

Huyo ni mtaka sifa huwa anataka hata kubishana na maelekezo ya wakuu wake kama mawaziri kitu ambacho i kinyume na maadili ya viongozi wa umma.
 
Hii nchi ina viongozi wenye low self esteem,hawajiamini mpaka waumize au wakalipie mtu,Makamba,Mwigulu,Jafo,Turia akson,Azan zungu,Samia,Mpango,Hawa ni viongozi wasio na akili kabisa!!Wana Elimu kubwa lakini no intelligence,
Hawamfikii mkuu wa mkoa wa Njombe Mtaka,Mtaka alistahili awe Waziri mkuu,maana ana akili kubwa na maono kuliko hao machawa hapo juu,wanaofikri Swala la nguvu za kiume ndio tatizo kubwa hapa nchini,
Dunia inaongelea ukame,na maisha kupanda yenyewe yanafikiri nguvu za kiume ndio suluhisho
In fact Mtaka nimefanya nae kazi. Ni mtu wa domodomo. Ukiwa nae mbali utafikiri ni mchapakazi sana. Ukiingia uvunguni mwake utagundua ni mtu wa kujizoazoa alimradi aonekane anajambo analofanya. Waziri hatakiwi kuwa kama Mtaka.
 
Back
Top Bottom