Lord Delamere in Kenya
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 3,988
- 8,021
Hayo ni ya kwako. Ila binafsi sijawahi kuwasikia Wasabato wakisema wao huwa hawatendi dhambi.
Kwanza, wakiwa kwenye maombi huwa wanatanguliza neno "..utusamehe kwa dhambi tulizozitenda, maana sisi siyo wakamilifu..."
Pili, hilo la kutetea mafundisho yao mbona lipo kwa kila dhehebu au dini?
1.Hujawahi kuwasikia Waislamu wanaita wenzao Makafiri huku wanaiba,kuuza madawa ya kulevya na kila aina ya uchafu?
2.Vipi Wakatoliki wanaosema Kanisa lao ndo pekee la kweli lililoachwa na Mitume huku wakifundisha au kufanya vitu ambayo Mitume hawakuwahi kurithisha?
3.Hujawahi kukutana na katoto kazuri ka Kilokole kanakwambia hakawezi kuolewa na mtu asiye mlokole, maana lenyewe kamejaa Roho Mtakatifu, kumbe nyuma ya pazia kana pigwa miti na kila mwenye mti unaosimama? Wapiga vinanda, Walimu wa kwaya, Wachungaji,Manabii,Wahasibu wa Kanisa,n.k wote walishawahi anafumua.