Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Brother JituMirabaMinne stay focusedAiseeeee. Hebu nikuambie kitu kimoja. Katika gari kila sensor unayoijua signal yake lazima inatumika mahali. Siyo tu kumonitor halafu basi.
Mfano ECT sensor na TPS sensor za engine signal zake hutumika katika gear shifting kwenye gearbox.
Brother JituMirabaMinne stay focused
Hapa tunazungumzia hiyo sensor uliyosema unamwekea mtu kama masega yakitolewa..
Mzee baba unabisha hukusema baada ya masega gari huw a inafungwa oxygen sensor?Baada ya hayo masega gari huwa inafungwa Oxygen sensor. Unajua kazi yake?
Ulaji wa mafuta lazima uwe affected sababu hiyo ndio sensor inapima content ya Oxygen iliyopo kwenye moshi na signal yake huwa inatumika kuamua ni mafuta kiasi gani yaingine kwenye engine.
It is sad kwamba unashidwa kutofautisha neno baada na badala.Mzee baba unabisha hukusema baada ya masega gari huw a inafungwa oxygen sensor?
Maandishi yanaishi na hapo ndo uliposema.
Unanipa njaa tu wewe...... Swali linataka ujibu mstari mmoja wewe unaandika essay ya maneno 300 na mwisho wa siku unachanganya vitu.
Sijibu tena quote yako
Sent from my Redmi S2 using JamiiForums mobile app
Jamani, imesemwa hivii:It is sad kwamba unashidwa kutofautisha neno baada na badala.
Okay fine narudia tena baada ya masega inafungwa Oxygen sensor. Je ni uongo?
Bora useme wewe aiseee.Jamani, imesemwa hivii:
Baada ya masega inawekwa sensa ...
Siyo Badala ya masega inawekwa sensa!
Tatizo lilikuwa dogo tu kumbe... lugha! [emoji23][emoji23]
Dah...kumbe ni neno moja tu lilofanya mabishano ya chukue siku 2 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bora useme wewe aiseee.
😂😂😂😂 Dah nmeona nmechoka aiseeee.Dah...kumbe ni neno moja tu lilofanya mabishano ya chukue siku 2 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kiswahili hiki kitaua watu aiseee, nadhan mmeelewana sasa.
Mkuu brevis ya jamaa yako taa ya check engine inawaka baada ya kutolewa cat conv?Nilivyoelewa mimi Kwa gari na gari
Mfano Brevis zinaharibika kabisa yakiondolewa hayo masega.
Wakati IST pengine sio sana
Mkuu brevis ya jamaa yako taa ya check engine inawaka baada ya kutolewa cat conv?
Yaani kuchomoa pale wakashindwa?Nimekupenda bure.. bado hujapata gari ila unajua hadi kupress bush... sikutegemea kusikia hilo neno kwa mdada.. nakumbuka kuna chalenge ilitolewa kwenye party moja kwa wadada 20 wenye magari.. atakaepatia kucheki oil ya gear box anapata zawadi laki 3... wote walishindwa walipofunguliwa bonet ya gari zao
Msome polepoleMkuu mbona gari zote zinatumia oxygen sensor na ni lazima, usitake kuniambia kwamba oxygen sensor inawekwa kureplace hayo masega.
Naomba tu nikufumbue ufahamu wako, gari yako ikiwa na hayo masega na oxygen sensor ikafa, moshi wake utakaotoka huko sio wa nchi hii.
Mfumo wa engine na combustion lazima uwe na oxygen sensor na kuanzia gari za mwaka 1996 manufacturers walilazimika kutumia secondary oxygen sensor kwa ajili ya ku monitor ufanyaji kazi wa masega. Sasa ukishatoa hayo masega oxygen sensor ina monitor kitu gani kama sio kuibia watu tu.
Tusi ingizwe chaka na mfundi kanjanja jamani
Sent from my Redmi S2 using JamiiForums mobile app
Washakupiga hao, na kwa muda uliotumia gari watakukataa, huwez kuwafanya chochoteGari yangu niliipeleka gereji kupigwa rangi gari nzima. Nilipoenda kuichukua, nikaona sauti ya muffler imebadilika. Nimeitumia kama mwezi, naona sauti inazidi kuwa kubwa. Jana nikawa napiga story na fundi wa injini, tukaongea kuhusu masega. Akasema huenda washanizidi ujanja maana yana pesa sana. Akasema kwa mfano masega ya kwenye Brevis (mimi nina gari tofauti) ukiyauza unaweza pata hadi sh milioni 1 sababu yako tofauti. Sasa leo ninaenda kwa fundi wa exhaust system aangalie catalytic converter na muffler, tujue mbivu na mbichi.
Mkuu ukumbuke kulinda na nanliiii wasijefunua kizibo cha asali! Alisikika mlevi mmoja,mwisho wa kunukuu.⁶
Yaani sisi wadada kuna huyo rafiki ni boonge la sista duu ye gari yake anajua kuwasha na kuondoka tu, service hizi anamuita fundi anaondoka nalo sijui kama gari yake haijatolewa hayo masega[emoji849] kuna siku anatembea na gari kumbe haina maji kabisa aisee boyfriend ndiyo akagundua kumuambia atachoma engine dah.
Siku nikipata gari hata kupress bush naenda mwenyewe[emoji3][emoji3] pia full kulinda masega ya gari yangu.
Gari yangu niliipeleka gereji kupigwa rangi gari nzima. Nilipoenda kuichukua, nikaona sauti ya muffler imebadilika. Nimeitumia kama mwezi, naona sauti inazidi kuwa kubwa. Jana nikawa napiga story na fundi wa injini, tukaongea kuhusu masega. Akasema huenda washanizidi ujanja maana yana pesa sana. Akasema kwa mfano masega ya kwenye Brevis (mimi nina gari tofauti) ukiyauza unaweza pata hadi sh milioni 1 sababu yako tofauti. Sasa leo ninaenda kwa fundi wa exhaust system aangalie catalytic converter na muffler, tujue mbivu na mbichi.