Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,817
Sio tu kuwa sheria hakuna, bali NEMC ni vilaza wa mwisho, tuna majenereta makubwa viwandani na migodini, yanatembea 24/7 na yanazalisha NOx ya kutosha, Europe na America pengine hata ASIA wana limit ya kiwango cha uzalishaji wa NOx kwenda hewani, labda 500mg ila sisi, tunaruhusu tu kila taka, gari ya 1993 unainunua na unadunda nayo, NEMC wanaenda kuangalia maji ya viwandani wanapuuza hewa inayochafuliwa inayovutwa na kila MTz kuanzia namba 1 mpaka zero....
Sidhani kama ni kweli nemc ni vilaza hata kama ningekuwa mimi nisingeruhusu hizo sheria hapa Tanzania, hayo ni mambo ya Ulaya, USA na Japan kwa sasa, hata Uchina wenyewe bado wanaruhusiwa ku polute mpaka 2030, sisi bado hatujafikia huko tukianza mambo ya green economy sasa hivi tutakuwa fukara wa kutupwa,hatuwezi kumudu, green economy ni expensive sana na siyo kwa nchi zinazoendelea kama sisi, ...