Wizi wa catalytic converter kwenye magari 'Masega'

Wizi wa catalytic converter kwenye magari 'Masega'

Nimeambiwa Brevis ikishatolewa hayo masega inaharibika kabisa baada ya mda

The way unavyoongea ni kama unaweza ibiwa na gari isibadilike chochote..
Nashindwa kabisa ku elewa hapa
Nasikia yakishatolewa kwanza linaongeza ulaji mafuta na pia linakuwa halina nguvu kama awali. Hizo ni dalili za mwanzo
 
Nimeambiwa Brevis ikishatolewa hayo masega inaharibika kabisa baada ya mda

The way unavyoongea ni kama unaweza ibiwa na gari isibadilike chochote..
Nashindwa kabisa ku elewa hapa
Gari ikitolewa hayo masega mlio unabadilika vile vile itaathirika kidogo kwenye nguvu maana compression ya injini inapungua kidogo, ila hai haribiki kama ulivyo ambiwa boss.

Na kutatua hyo shida inabidi uende Ilala ukanunue bomba lingine la moshi, maana kule wanapokata magar yaliyopata ajali hicho ndo cha kwanza huwa wanawahi kutoa. Kwa uhakika ni inabidi uingie dukani kabisa boss
 
Naomba wataalam mtujibu maswali yot
Why za Brevis ndo zinaibiwa sana?

Magari mengine hayana??

Halafu ni kweli gari inaharibika ikishatolewa
Hiyo?Why?
Usiseme magari mengine hayana

Hayo macatalyst yapo mpaka kwenye nissan civilian yaliziba exhaust yakaifanya gari kuwa nzito mno hata ukikanyaga accelerator mshale wa rpm hautembei kabisa.....
 
Sio brevis boss ni magari karibu yote tu, nimeshaona Ist, raum, mark x, crown n.k.

Alteza tu ndo nasikia haikuwekwa madini hayo wameweka material tofauti...
Sidhani km Altezza haikuwekwa hiyo kitu ,nilisoma somewhere humu kuhusu hiyo kitu kwenda kuchunguza Altezza yangu nakuta imechomelewa exhaust, nikajaribu kukumbuka ni lini ilipata shida ya exhaust sikukumbuka nikajua wataalamu wameshapita Nayo.
 
Sidhani km Altezza haikuwekwa hiyo kitu ,nilisoma somewhere humu kuhusu hiyo kitu kwenda kuchunguza Altezza yangu nakuta imechomelewa exhaust, nikajaribu kukumbuka ni lini ilipata shida ya exhaust sikukumbuka nikajua wataalamu wameshapita Nayo.
Unaweza kuqa sahihi boss, ndo maana hata mm nilisema kuwa nilisikia hvyo, maana aliye niambia hvyo ni kati ya watu wanafanya hyo michezo, labda kuna baadhi ya Alteza hazina.

Maana aliniambia Alteza ziewekewa ya chuma hv tofauti ya gari nyingine ambayo hata ukiyachokonoa na kitu kigumu yanavurugika.
 
Aisee nilikua sijui kama gari ikitolewa masega inaharibika, nilijua ni uchafu tu [emoji15][emoji15] wadada wa mjini na magari yao wanajua hata masega nini kweli [emoji14]
Tena wadada ndo wanapigwa na hawagundui miaka mia, maana wadada wanatabia ya kumpa gari fundi akafanye service huku yy akiendelea na mishe nyingine home, hayo mambo kwa sasa wadada muache, pleka gar gereji simamia show mwanzo mwisho hadi uondoke na gari yako.

Yaan kwa sasa ukikaa mahali tu kila gari inayopita unajua kabisa hii ina bikra hii ishatolewa kupitia muungurumo tu.

Kingine, watuwengi wanawapa madalali magari yao wayauze, madalali hcho ndo cha kwanza wanaenda kutoa kabla hawajainadi gari, hilo nimeshuhudia kabisa.
 
Sheria itungwe haraka ya kuwafunga jela miaka mingi au hata kuuawa wale wanaofanya hujuma hizo bila kuwa na kibali
 
Nasikia yakishatolewa kwanza linaongeza ulaji mafuta na pia linakuwa halina nguvu kama awali. Hizo ni dalili za mwanzo
Hapa siwezi kukubaliana na wewe, kuna wadau mwanzo wamesema kazi yake kubwa ni kupunguza emission ya gas chafu ili kupunguza uchafuzi wa mazingira. Ndo maana watu wamekua wakitumia magari bila hata kufahamu kama wamepigwa.

Inshort haiharibu mfumo wa ulaji wa mafuta na hakuna uthibitisho huo. Na kama itaharibu basi ni katika immaterial level.

Sent from my Redmi S2 using JamiiForums mobile app
 

Tena wadada ndo wanapigwa na hawagundui miaka mia, maana wadada wanatabia ya kumpa gari fundi akafanye service huku yy akiendelea na mishe nyingine home, hayo mambo kwa sasa wadada muache, pleka gar gereji simamia show mwanzo mwisho hadi uondoke na gari yako...
Yaani sisi wadada kuna huyo rafiki ni boonge la sista duu ye gari yake anajua kuwasha na kuondoka tu, service hizi anamuita fundi anaondoka nalo sijui kama gari yake haijatolewa hayo masega🙄 kuna siku anatembea na gari kumbe haina maji kabisa aisee boyfriend ndiyo akagundua kumuambia atachoma engine dah.

Siku nikipata gari hata kupress bush naenda mwenyewe😀😀 pia full kulinda masega ya gari yangu.
 
Back
Top Bottom