Wizi wa catalytic converter kwenye magari 'Masega'

Yanakua sehemu gani kwenye exhaust, na wanaoyanunua wanayatumia kwenye nini au wanakuja kuyauza garage bubu
 
Aiseeeee. Hebu nikuambie kitu kimoja. Katika gari kila sensor unayoijua signal yake lazima inatumika mahali. Siyo tu kumonitor halafu basi.

Mfano ECT sensor na TPS sensor za engine signal zake hutumika katika gear shifting kwenye gearbox.
Brother JituMirabaMinne stay focused

Hapa tunazungumzia hiyo sensor uliyosema unamwekea mtu kama masega yakitolewa.

Nashangaa tumefika na kwenye sensor ya gearbox.

I rest my case mkuu

Sent from my Redmi S2 using JamiiForums mobile app
 
Brother JituMirabaMinne stay focused

Hapa tunazungumzia hiyo sensor uliyosema unamwekea mtu kama masega yakitolewa..

Hakuna mahali mimi nimeandika kwamba Masega yakitolewa mtu anawekewa Oxygen sensor. Hakuna na sijui wewe umetoa wapi hiyo.

Masega yana kazi yake na sensor ina kazi yake. Nilichokataa ni kusema eti hiyo sensor inafanya tu monitoring na hivyo masega yakitolewa inakuwa haina kazi. Kitu ambacho si kweli.

Haya tena unazungumzia sensor ya gearbox. Ni wapi mimi nimetaja sensor ya gearbox?

We have a long way to go.
 
Mzee baba unabisha hukusema baada ya masega gari huw a inafungwa oxygen sensor?

Maandishi yanaishi na hapo ndo uliposema.

Unanipa njaa tu wewe...... Swali linataka ujibu mstari mmoja wewe unaandika essay ya maneno 300 na mwisho wa siku unachanganya vitu.

Sijibu tena quote yako

Sent from my Redmi S2 using JamiiForums mobile app
 
It is sad kwamba unashidwa kutofautisha neno baada na badala.

Okay fine narudia tena baada ya masega inafungwa Oxygen sensor. Je ni uongo?
 
Gari yangu niliipeleka gereji kupigwa rangi gari nzima. Nilipoenda kuichukua, nikaona sauti ya muffler imebadilika. Nimeitumia kama mwezi, naona sauti inazidi kuwa kubwa. Jana nikawa napiga story na fundi wa injini, tukaongea kuhusu masega. Akasema huenda washanizidi ujanja maana yana pesa sana. Akasema kwa mfano masega ya kwenye Brevis (mimi nina gari tofauti) ukiyauza unaweza pata hadi sh milioni 1 sababu yako tofauti. Sasa leo ninaenda kwa fundi wa exhaust system aangalie catalytic converter na muffler, tujue mbivu na mbichi.
 
Yaani kuchomoa pale wakashindwa?
 
Msome polepole
 
Washakupiga hao, na kwa muda uliotumia gari watakukataa, huwez kuwafanya chochote
 
Mkuu ukumbuke kulinda na nanliiii wasijefunua kizibo cha asali! Alisikika mlevi mmoja,mwisho wa kunukuu.
 
Utupe mrejesho mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…