Wizi wa catalytic converter kwenye magari 'Masega'

Wizi wa catalytic converter kwenye magari 'Masega'

Hapo ndio umakini unapokosekana,yaani unawasha gari lako unaondoka nalo,hivyo vitu vyote huwezi kuvugundua hapohapo ili umuulize fundi kuwa kulikoni gari langu limekuwa hivi!nadhani kuna kitu mtoa mada hujaweka vizuri..
 
Hili ni tatizo la ku kopi text za makundi ya What's App na kuzileta hapa,ndo maana utaona mleta mada hana ufafanuzi mzuri wa namna huo unga unavyokuwa 'recycled' sababu naye kakopi na ku pesti.
Wewe ni Thomaso.. Wait and see
 
Mm wamenifanyia huu ujinga nataka kwenda kureport polisi
Kuna mawili
1.cat yako ilikufa,wakatumia short cut na kuitoa. Mafundi wengi wanafanya hivi.
2.Hilo usemalo.

Hayo madude used hayana bei kama hizo ni dili si wangeuza hio platinum badala ya kuuza cat nzima £50-100?!

Fursa hio watu waambieni wasiibe niwaletee hayo madude moja wanipe 100,000 tu.
 
Wenye magari kuweni makini na kuwaachia mafundi/watu wenye tamaa magari yenu. Kuna mchezo mpya wa kutoa Lile chujio linalokaa ndani ya exhaust na kwenda kuuza. Kuna watu wananunua ilo chujio kwa kiasi cha Tshs 300,000/- mpaka 400,000/-

Utajuaje kama wametoa? “Ingia chini ya gari yako angalia kwenye mtungi wa exhaust ukiona umekatwa na kuchomelewa ujue ushaibiwa.

Dalili za chujio kutolewa
- Gari kukosa nguvu
- Gari kuwa na miss moja kali sana
- Taa ya check Engine kuwaka
- Ulaji wa mafuta kuongezeka.

"Hicho kifaa kwenye exhaust kinaitwa catalyic converter ndani yake kuna platinum ndiyo wanayoitaka."
Asante mkuu

Heee[emoji15] [emoji15] ngoja nichungulie sasa
 
Hapo ndio umakini unapokosekana,yaani unawasha gari lako unaondoka nalo,hivyo vitu vyote huwezi kuvugundua hapohapo ili umuulize fundi kuwa kulikoni gari langu limekuwa hivi!nadhani kuna kitu mtoa mada hujaweka vizuri..
Ni kweli kabisa...basi tu hajaeleza vizuri but mafundi wa kibongo ni washenzi hakuna mfano! Yaan anataka atajirikie kwenye kimkoko chako yaan!
 
Kuna mawili
1.cat yako ilikufa,wakatumia short cut na kuitoa. Mafundi wengi wanafanya hivi.
2.Hilo usemalo.

Hayo madude used hayana bei kama hizo ni dili si wangeuza hio platinum badala ya kuuza cat nzima £50-100?!

Fursa hio watu waambieni wasiibe niwaletee hayo madude moja wanipe 100,000 tu.
Upo siriaz
 

Auto
Toggle navigation
How Catalytic Converters Work


BY KARIM NICE & CHARLES W. BRYANT

NEXT PAGE

A large pile of platinum lined catalytic converters. See more green living pictures.
JAMES L. AMOS/NATIONAL GEOGRAPHIC/GETTY IMAGES
There are millions of cars on the road in the United States, and each one is a source of air pollution. Especially in large cities, the amount of pollution that all the cars produce together can create big problems.
To solve those problems, cities, states and the federal government create clean-air laws that restrict the amount of pollution that cars can produce. Over the years, automakers have made many refinements to car engines and fuel systems to keep up with these laws. One of these changes came about in 1975 with an interesting device called a catalytic converter. The job of the catalytic converter is to convert harmful pollutants into less harmful emissions before they ever leave the car's exhaust system.
Ukifata maneno ya wa bongo unaweza ukachizika
 
kumbe dili mweee.

Catalytic-Converters-1L.jpg
catalyic converter.jpg
 
Mafundi kibongo siyo...ukigundua tatizo kwenye gari lako nenda msimamie urudi na gari nyumbni...kama huna muda ni bora ulipaki upeleke siku una nafasi..
Kuna uhuni niluona wanafanya siku moja nikasema sitamwachia fundi gari...kuna mzee alileta gari hapo gereji awekewe ball joints mpya akatoa hela ile kajipindua tu, mafundi wakafungua faster na kuzigonga na nyundo zikakaza then wakazirudishia..
 
Kuna biashara imeibuka siku hizi na imekuwa maarufu sana na imeshika kasi sana kwa hapa dar es salaam..

Pindi unapopeleka gari yako gereji au kumpatia fundi huwa wanamtindo wa kuiba catalic converter , masega au alimaarufu kama makinikia.
Mafundi wengi wamekuwa sio waaminifu na kugeuka waharibifu kabisaa..wa magari ya watu..

Najua wengi wenu mtakuwa hamjanielewa ni kwamba kwenye exhaust kuna sehem huwa kuna kuna na kama kibuyu au bomba kubwa zaidi ya sehem nyingine ndani yake huwa kunakuwa na kitu kama masega ya nyuki..huwa yanakuwa kama udongo hivi haya madini yanauzwa bei kubwa sana laki 2 tatu 4 mpaka laki 7 mafundi wanayauza..so wengi wamekuwa wanayabomoa nakuyauza..matokeo yake gari inakuwa na sauti mbaya then ulaji wa mafuta unaongezeka na performance ya gari inapotea kabisaa..hivyo wenye magari kuweni sana makini.
 
Back
Top Bottom