Wizi wa catalytic converter kwenye magari 'Masega'

Aisee nikipata kichwa na mimi sikiachi napiga hio 500k though sina uhakika hata kama hicho ulichokiuza kama bado kitakuwepo kwny gari yangu maana nimeshaipitisha gari sehemu mbaya ile exhaust ikapasuka kama mara 2 hivi na nikaipeleka kwa mafundi wakaiziba,sijui kama hawakuiba au la?Ila nilikuwepo around wkt wanachomelea hilo bomba
 
Ndio maana hata mimi niliona ujinga huu yaani fundi ale 500k kwenye gari yangu..alafu nategemea kuiuza
 
Mkuu maboya ndio wanakata lakini wezi au ukichezeshewa mchezo hawakati bali wanayachokonoa kifundi sana na yanatoka yote bila ubishi

Na ikishatolewa ni lazima gari iwe inalia kama altezza kama mshikaji alivyosema pale juu?
 
No hapana sio lazima lkn kuna mabadiliko kidogo huwa yanatokea na hii mara nyingi inategemeana na aina ya gari
 
Back
Top Bottom