Wizi wa catalytic converter kwenye magari 'Masega'

Mkuu maboya ndio wanakata lakini wezi au ukichezeshewa mchezo hawakati bali wanayachokonoa kifundi sana na yanatoka yote bila ubishi
Sasa mi ni boya ktk hayo,nitajuaje kuwa wameyalina kabla sijaliondoa gari kutoka hapo garage....??maana ipo wazi ukishatoka usirudi kuwaeleza kuwa wamekuibia koz hakutokuwa na ushahidi
Mfano tunapokwenda kuosha huwa tunawakabidhi vitu vilivyomo na anapomaliza anatakiwa akukabidhi sawia na ulivyomkabidhi
 
Taa ya Engine inawaka, Ulaji wa mafuta unaongezeka na mlio wa gari unabadirika. Ukitaka kufahamu hapo hapo ni Taa ya engine kuwaka.. Ahsante
 
Mbona kuna wengine wanasema ukitoa catalytic converter, gari inaongeza hosepower na kunauwezekano wa kula mafuta vizuri.....kuna wengine wanasema ukitoa hili dude ulaji wa mafuta unaongozeka.....

Ila kama limeziba naona kuna alternative ya kulisafisha...nikikuwa naangalia you tube jamaa wanayasafisha kwa maji wanatia dawa fulani...wengine wanasema unaweza kulisafisha kwa petrol na ukishalisafisha linazibika vitundu vilivyoziba...hapa inakuwa salama kuliko kuliondoa zaidi..

mwanye uzoefu zaidi atujuze coz na mimi nipo mbioni kutoa langu kwenye nissan
 
Duuu nilikuwa sijuj hii kitu now nitakuwa makini
 
Hapana HP haina mahusiano kabisa na catalytic converter na kupunguza ulaji wa mafuta napo hakuna ukweli wowote.
 
Nikweli ukisemacho lkn inategemeana na ni gari ya ajna gani
 
Hii catalytic converter ni mzigo kwa engine. Bora kuitoa tu.
 
Hapana HP haina mahusiano kabisa na catalytic converter na kupunguza ulaji wa mafuta napo hakuna ukweli wowote.
Mkuu uhusiano upo sana tuu..sema inategemeana na aina ya gari tatizo wa bongo asilimia 70% mpaka 80% wanatumia magari ya asia toyota, nisan kwa mbali na suzuki na brand zingine lkn haswaa toyota ndio maana kuna mautam mengi sana hamwezi yafaham..

Catalic converter inaweza badilisha gari ikawa inakula mafuta vizuri au laa..
Yaani ukiitoa.na vile vile inaweza ikafanya gari iwe na power au laa..mfano kwenye gari zenye AF sensor na oxygen sensor ukitoa itakupa shida au kwa gari zenye sensor za oxygen after catalic convrter pia inaweza kukupa shida ..

Ili kuweza kufaham na kutambua juu ya hili fuatilia kazi ya catalic converter faida zake na hasara.

Baada ya hapo fuatilia kazi ya oxygen sensor.utajua nn namaanisha
 
Hii catalytic converter ni mzigo kwa engine. Bora kuitoa tu.
Hembu dhibitisha kauli yako kwa mifano na hoja za kitaalam ukiachana na maneno ya kijiweni..na huo mzigo unatoka wapi?? Na usije ukajiongopea kuna gari ukitoa hayo ujue ndio umeharibu gari linakuwa guta
 
Kazi ya catalytic converter ni kureduce toxic emmissions from engine exhaust. It does not in any way affect the performance of an engine.

Binafsi Siamini katika emmissions control, hiyo catalytic converter inaongeza unwanted back pressure (mzigo) in the exhaust system. Kuitoa kunaipa engine yako slight fuel efficiency & performance.

Hii ni kwasababu ukiitoa Catalytic Converter exhaust flow inaongezeka. Sababu catalytic converter zinafungwa kwenye magari ni strict emmissions regulations katika masoko ya nchi zilizoendelea eg. USA gari ikizidisha emmissions juu ya limit ya sheria haliruhusiwi kutumika nchini humo. (rejea msala wa VW)

Haya hebu fafanua na wewe gari inakuaje kama guta ukitoa catalytic converter.
 
Binafsi Siamini katika emmissions control

Huamini katika kuwa na hewa safi kwenye mazingira yetu?

Mafundi geleji wa miembeni hawa, wametoka darasa la saba wameenda wameshinda vijiweni geleji weeee mpaka wakawa mafundi, zaidi ya hapo ni zero, hawajui kinachoendelea duniani.
 
Sawa, ongea wewe fundi "geleji" mtaalamu kutoka veta.
 
Ndio.

Fundi geleji wa VETA anafundishwa kazi na umuhimu wa catalytic converter kwa mapafu yako wewe fundi geleji unaeshinda unapumua ma exhaust fumes masaa 12 kila siku.

“Siamini katika emmissions control”

Most ridiculous comment of the year.

Acha kupumua mi fumes hiyo wewe fundi geleji wa mwembeni!
 
nitapiga mpaka ajinyee huyo fundi
1545524481655.png
 
Ndio.

Fundi geleji wa VETA anafundishwa kazi na umuhimu wa catalytic converter kwa mapafu yako wewe fundi geleji unaeshinda unapumua ma exhaust fumes masaa 12 kila siku.

“Siamini katika emmissions control”

Most ridiculous comment of the year.

Acha kupumua mi fumes hiyo wewe fundi geleji wa mwembeni!
Badala ya kujibu hoja kwa hoja unatukana.

Sio lazima wote tuwe enviromentalists kama wewe.
 
Kazi ya catalytic converter ni kureduce toxic emmissions from engine exhaust. It does not in any way affect the performance of an engine.

Binafsi Siamini katika emmissions control, hiyo catalytic converter inaongeza unwanted back pressure (mzigo) in the exhaust system. Kuitoa kunaipa engine yako slight fuel efficiency & performance.

Hii ni kwasababu ukiitoa Catalytic Converter exhaust flow inaongezeka. Sababu catalytic converter zinafungwa kwenye magari ni strict emmissions regulations katika masoko ya nchi zilizoendelea eg. USA gari ikizidisha emmissions juu ya limit ya sheria haliruhusiwi kutumika nchini humo. (rejea msala wa VW)

Haya hebu fafanua na wewe gari inakuaje kama guta ukitoa catalytic converter.
Mkuu unachokiongea ni kweli kabisa .lakini au ndio maana nikakwambia gari za toyota zinalemaza sana na kufanya mafundi wengi tuwe wazembe..

Mfano ukikuta gari yenye af sensor before catalic converter na oxygen sensor after catalic converter .

Mkuu ukitoa hizo mambo kwenye baadhi ya gari itakuwa hivi usomaji wa sensory ya kwanza na pili utakuwa karibia na sawa au sawa kitu ambacho kitatafsiliwa kama ni tatizo au ugonjwa kwenye gari so na control box itatoa reaction like kubana mafuta au kuongeza mafuta..

Na kuna gari nyingine ikisha kuwa hivyo ina jiweka kwenye SAFE MODE hapo ndipo gari inakuwa kama guta..mkuu kama utabisha kwa hili nitakushangaa.

Kwenye control box kila kitu kipo programmed so hatua moja inapokosekana hutafsiliwa kama ni shida.

Kama unafaham kitu kinaitwa DPF basi ndio kama catalic.

Hapo kuna mawili aidha ukitoa catalic ufunge emulator au u program control kwa kuremove lampda sensor/oxygen sensor kwenye ecu
 
Huamini katika kuwa na hewa safi kwenye mazingira yetu?

Mafundi geleji wa miembeni hawa, wametoka darasa la saba wameenda wameshinda vijiweni geleji weeee mpaka wakawa mafundi, zaidi ya hapo ni zero, hawajui kinachoendelea duniani.
Hata trump haamini kama kuna mabadiliko ya hali ya hewa duniani.
 
Kwani wakuu mafundi wakishaiba hio mambo wao wanaenda kuifanyia nini?
 
Mkuu uhusiano upo sana tuu..sema inategemeana na aina ya gari tatizo wa bongo asilimia 70% mpaka 80% wanatumia magari ya asia toyota, nisan kwa mbali na suzuki na brand zingine lkn haswaa toyota ndio maana kuna mautam mengi sana hamwezi yafaham..

Catalic converter inaweza badilisha gari ikawa inakula mafuta vizuri au laa..
Yaani ukiitoa.na vile vile inaweza ikafanya gari iwe na power au laa..mfano kwenye gari zenye AF sensor na oxygen sensor ukitoa itakupa shida au kwa gari zenye sensor za oxygen after catalic convrter pia inaweza kukupa shida ..

Ili kuweza kufaham na kutambua juu ya hili fuatilia kazi ya catalic converter faida zake na hasara.

Baada ya hapo fuatilia kazi ya oxygen sensor.utajua nn namaanisha
Mkuu naomba unipe elimu ya hizo gari ambazo ukitoa Catalytic converter ulaji wa mafuta unapungua na pia gari iwe na nguvu. Ahsante
 
Back
Top Bottom