Katika maisha usimuani yoyote.Jitahidi
Aisee ππ...hapo watoto lazima wawe majambaziπππHii ipo sana tuu besty...
Mimi piaTufundishe vijana namna ya kutunza vitu muhimu kama nyaraka za vyeti na Laptops haswa wakati wa safari. Sijawahi kuweka begi langu lenye kitu chochote cha muhimu kwenye carrier ya bus, ni lazima niwe nalo mapajani muda wote bila kuzingatia umbali wa safari wala kushuka sehemu ya kula, lazima bag niwenalo.
Dah inawezekana Aisee Maana wamenipiga vitu Si chini ya 3M kulikuwa na Laptop,Tablet,Simu na Vitambulisho Vya kazi Na Vitu vyangu vingine ila me naamini Mungu Atawalipa Aisee walinirudisha sana Nyuma washenzi hawaaaDaah pole sana maybe walijua una vitu vya thamani....
Kwakweli...maana wanaona ni kitu cha kawaidaWatoto wanakua makomandoo vipensi hahaha
Labda ndo hawa Mungu kawaumbua...Dah inawezekana Aisee Maana wamenipiga vitu Si chini ya 3M kulikuwa na Laptop,Tablet,Simu na Vitambulisho Vya kazi Na Vitu vyangu vingine ila me naamini Mungu Atawalipa Aisee walinirudisha sana Nyuma washenzi hawaaa
Ile roote ilikuwa Kutoka Tanga kuja Dar Miezi miwili ilopita AiseeLabda ndo hawa Mungu kawaumbua...
Jasho la mtu haliliwi...
Wameenda KaziniYaani watu wanatoka kwao wamependeza wanaenda kuiba.
SahihiHalafu alishtuka walipolishusha sijui kwanini hakukomaa nao pale wasogee kwanza
Kazini ndo kuibaππWameenda Kazini
Hahahaa,au kula kimasiharaπ€£π€£π€£π€£Jioni wanakuja humu kusifia dipi weldi
Ujue hapo kamuomba Mungu ? Na km alifanikiwa usikute alitoa sadaka,πππKazini ndo kuibaππ
HeheheπππππππUjue hapo kamuomba Mungu ? Na km alifanikiwa usikute alitoa sadaka,πππ