Wizi wa kwenye mabasi wanaswa na kamera ya bus la ABC

Wizi wa kwenye mabasi wanaswa na kamera ya bus la ABC

Tufundishe vijana namna ya kutunza vitu muhimu kama nyaraka za vyeti na Laptops haswa wakati wa safari. Sijawahi kuweka begi langu lenye kitu chochote cha muhimu kwenye carrier ya bus, ni lazima niwe nalo mapajani muda wote bila kuzingatia umbali wa safari wala kushuka sehemu ya kula, lazima bag niwenalo.
Mimi pia

Huu wizi umetawala sana kipindi hiki Cha vyuo kufugwa....

Miaka 12 iliyopita nilikua nasafir kwenda Mwanza...wapo wezi ambao hukata tiketi kabisa na kusafir Kwa lengo la kuiba laptop 💻

Tumefika Dodoma tukaenda kula kurudi garini dada haoni begi lake la laptop na vitu vingine....

Yaan tukachukuliwa gari zima mpaka DODOMA CENTER POLICE

Kila mtu anatoka na mizigo yake inafunguliwa na kumwagwa 🔍 🔍🔍 searching na police na gari zima tu searchiwa mwanzo mwisho....

Mwisho wa siku hakupata chochote na Kuna abilia mwingine mmoja hakuwepo kwenye siti yake so izo mambo zipogo sanaa.....
 
aisee kibegi kdg Kama Hicho unakiweka juu na unakua na amani kweli? Mm bag LA mgongoni mara nyingi linakua na kilak2 hata kwenye safari ya mbali ntalibeba mda Wote na hata mda wa kwenda toilet pia naenda nayo
 
Back
Top Bottom