Wizi wa kwenye mabasi wanaswa na kamera ya bus la ABC

Utadhani kwenye picha hapo juu aliyeibiwa ndo mwizi. Yani umdhaniaye siye.
 
Watashikwa tu lakini uzuri sura zao zinaonekana vizuri
Ngumu sana....Mimi mpaka Leo na RB ya dogo mmoja ni wanted aliiba 10M video na camera Kila kitu zilimuonyesha hatua zake zote.....................

Hii dar es salaam ni kubwa sana na ni ngumu kumpata otherwise wangekua na program kama za KGB au FBI au CIA au Mossad alama za mikono na picha zao zingeingizwa kwenye data base...
Kama walijiandikishaga

Mambo ni mengi muda mchache..😊
 
Aisee πŸ€”πŸ€”πŸ€”
 
Duuh pole sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…