Wizi wa mapato ya Serikali katika Bandari ya Dar es Salaam ndiyo sababu kubwa ya DP World kukabidhiwa

Na Bandari vyote mnatoa kwa waarabu???
 

Attachments

  • C7F3C941-AE6C-4E57-958F-070BE15E575C.jpeg
    23.3 KB · Views: 2
  • DA26040C-DB50-483E-BEDD-23A410ED0F76.jpeg
    66.2 KB · Views: 3
  • 1FDA4A00-F6A9-4B2B-9C8F-9B20A7ADAF0E.jpeg
    140.9 KB · Views: 2
  • 848BB374-CD01-4559-A725-DED152396B52.jpeg
    51.3 KB · Views: 3
Nikuulize swali karamagi wa tics, rostam na wewe sllygosti nani mzalendo na mwekezaji!
 
Kama kusingekuwa na wizi na ubadhilifu unaofanyika bandarini basi Serikali isingewakumbuka wawekezaji wa nje ya nchi.
Unajua unatumia lugha ya kuudhi dhidi ya viongozi wetu wa serikali na wale wanaohusika na kudhibiti wizi nchini, na hauishi hapo bado unatumia lugha ya kuudhi dhidi ya watanzani zaidi ya 64 mil kwamba wao ni wezi pia na hawajitambui kiasi cha.juendesha shughuli zao.
 

Wewe jamaa ni hovyo au akili Huna hata nafikiria kusema hujitambui:
1. Watanzania wote 64m wanafanya kazi bandarini?
2. Serikali ilipochukua uamuzi huu unadhani hawakulijua hilo!
3. Hujui kuna kesi lukuki za wafanyakazi wa bandari kwa kutuhumiwa kuhujumu uchumi!
 
Inamaana hadi leo tumeshindwa kudhibiti tabia mbaya za watu?
 
CCMni chama kinachoweza kutawala iwapo kitasimamia muundo mzuri wa katiba mpya ili
1. Wakuu wa mikoa na wilaya wachaguliwe na wananchi wa maeneo husika
2. Wakurugenzi wa Halmashauri na majiji washindanishwe kwenye inyerview
3. Wakuu wa taasisi na madhirika ya umma wateuliwe na chombo maslum sio Rais tena
4. IGP ashindanishwe kwrnye interview na sio kuteuliwa
5. Wabunge wawe na kiwango cha elimu kuanzia shahada moja
6. Madiwani wawe na elimu kuanxia F6 na kuendelea
7. Tuwe na serikali moja au Tatu ili kuulinda muungano
 
...kuhujumu uchimi!
Ha ha haaaa! Una options mbili. Moja kunisababisha "ban" kwa mara ya Kwanza hapa jukwaani, mbili kuja na hoja za kulisaidia Taifa kuelewa malengo halisi ya makubaliano na mikataba tajwa juu ya ubinafishaji wa bandari na miundombinu mingine!!!

Option ya kwanza Nitaweka mpira kwapani kwa sababu nipo kukabili "evils" dhidi ya Taifa letu Tanzania mitandaoni.

Option ya pili tutakwenda sawa.
===
Kama wezi wanajulikana ni hatua gani tangible mmefanya kuwadhibiti....au ndiyo mtasema waliwaroga!? Maana mna majibu "yenu magumu" hivi kuyaelewa
 
Eneo la bandari liongezwe hadi magogoni ili mkiuza muuze jumla
 
Kwani wezi ni CDM AU NI CCM? Jiulzeni mkipata jibu mnijulishe
 
Peno ! Hii peleka kwenye jukwaa la katiba! Hapa ni jinsi ya kuipongeza DP World kuja Tanzania na watanzania kupata manufaa kwa ujio huo
 
Haya ni matusi kejeli na unyanyasaji dhidi ya Mtanzania.
Mapinduzi ni lazima yafanyike ndani ya CCM.

Nchi imeuzwa, wachana na Dar-Es-Salaam.
 
Wapewe DP WORLD tu wabongo ni wababaishaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…