Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Waliambiwa kama mnaiba ibeni kidogo hawakusikia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Andika barua ya kuonyesha interest na kuonyesha uwezo wako na uzoefu ila hiyo.ya magogoni utakachokipata ujajua hujuiNina uwezo ninaomba Magogoni na SGR
Na Bandari vyote mnatoa kwa waarabu???Sitakujibu moja kwa moja....ila
...Kuna tatizo la Lugha katika mijadala hii. Yaani kuna lugha za kibaguzi katika mijadala mingi Ikiwa pamoja na mada hii.
Sintomumunya. Kuna wale wenye dhana ya kuwa
Wawekezaji=Mzungu,Muhindi, Mwarabu....na mtu yeyote yule asiye kuwa na ngozi nyeusi!
Kuwa watu weusi ni wazalendo ila ni wezi,Wabadirifu n.k
......dhana hii inaleta mikongano sana hapa jamvini.
wakati huo huo, wazungu, wahindi, waarabu sio wezi au Wabadirifu na hawana Uzalendo!
Na hivyo basi, Mtu mweusi, Mtanzania, "Mzalendo" hawezi kuwa mwekezaji!
Nikuulize swali karamagi wa tics, rostam na wewe sllygosti nani mzalendo na mwekezaji!Sitakujibu moja kwa moja....ila
...Kuna tatizo la Lugha katika mijadala hii. Yaani kuna lugha za kibaguzi katika mijadala mingi Ikiwa pamoja na mada hii.
Sintomumunya. Kuna wale wenye dhana ya kuwa
Wawekezaji=Mzungu,Muhindi, Mwarabu....na mtu yeyote yule asiye kuwa na ngozi nyeusi!
Kuwa watu weusi ni wazalendo ila ni wezi,Wabadirifu n.k
......dhana hii inaleta mikongano sana hapa jamvini.
wakati huo huo, wazungu, wahindi, waarabu sio wezi au Wabadirifu na hawana Uzalendo!
Na hivyo basi, Mtu mweusi, Mtanzania, "Mzalendo" hawezi kuwa mwekezaji!
Unajua unatumia lugha ya kuudhi dhidi ya viongozi wetu wa serikali na wale wanaohusika na kudhibiti wizi nchini, na hauishi hapo bado unatumia lugha ya kuudhi dhidi ya watanzani zaidi ya 64 mil kwamba wao ni wezi pia na hawajitambui kiasi cha.juendesha shughuli zao.Kama kusingekuwa na wizi na ubadhilifu unaofanyika bandarini basi Serikali isingewakumbuka wawekezaji wa nje ya nchi.
Ni kweli CCM ime prove failures kwa muda mrefu na tumeichoka, swali ni je ..tukiitoa CCM tunawaweka kina nani?Kwa kifupi CCM ijiandae kuondoka 2025 au kama inataka kuendelea kubaki madarakani itafute mgombea mwenye misuli ya kusimamia nchi na raslimali zake.
JW kwa sasa vyama vikiwa vinaendela kujipanga upya.Ni kweli CCM ime prove failures kwa muda mrefu na tumeichoka, swali ni je ..tukiitoa CCM tunawaweka kina nani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua unatumia lugha ya kuudhi dhidi ya viongozi wetu wa serikali na wale wanaohusika na kudhibiti wizi nchini, na hauishi hapo bado unatumia lugha ya kuudhi dhidi ya watanzani zaidi ya 64 mil kwamba wao ni wezi pia na hawajitambui kiasi cha.juendesha shughuli zao.
Kumekuwa na malalamiko makubwa sana kwa bandari ya Dar es Salaam kukabidhiwa kwa DP World, lakini sababu kubwa zaidi ni wizi wa mapato ya Serikali uliokithiri pamoja na dhuluma kubwa kwa wateja wanaoagiza mizigo bandarini.
Mizigo inayopita bandarini ni mingi sana lakini Serikali imekuwa haipati mapato sahihi ya bandari hiyo kwani fedha hizo zimekuwa zikidhulumiwa tangu kipindi cha Mwl Nyerere na hata alipokuja Dr Magufuli wizi huu ulimkera sana na kujaribu kuchukua hatua ambazo hazikuzaa matunda.
Watanzania tujitoe boliti kwenye macho yetu ndipo tumnyooshee kidole raisi Samia Suluhu Hassan pamoja na Serikali kwa uamuzi waliochukua.
Watanzania tujiulize je tumekuwa tukipeleka mapato sahihi serikalini kama tulivyopaswa kufanya? Je hatukuwa tukidhulumu wateja wanaoagiza mizigo kupitia bandari hiyo? Lengo la Serikali kuleta wawekezaji DP World ni kupata mapato makubwa kwasababu ya uendeshaji wao mzuri wa bandari usiokuwa na hujuma.
Kama kusingekuwa na wizi na ubadhilifu unaofanyika bandarini basi Serikali isingewakumbuka wawekezaji wa nje ya nchi.
Watanzania tujifunze kuacha hujuma kupitia uamuzi huu wa DP World kwenye mali za Serikali kwasababu kadiri itakavyozidi kukosa mapato sahihi ndipo itazidi kualika wawekezaji kutoka nje ya nchi yetu ili wasimamie kwa haki.
Reference:
Jibu ni wazi tabia hizo zimetushindaInamaana hadi leo tumeshindwa kudhibiti tabia mbaya za watu?
Pia acha serikali ijitoe kwenye haya mambo ili ijikite katika majukumu ya kutoa huduma kwa wananchiJibu ni wazi tabia hizo zimetushinda
Serikali iachie ngazi kwa kauli ya kushindwaJibu ni wazi tabia hizo zimetushinda
Ha ha haaaa! Una options mbili. Moja kunisababisha "ban" kwa mara ya Kwanza hapa jukwaani, mbili kuja na hoja za kulisaidia Taifa kuelewa malengo halisi ya makubaliano na mikataba tajwa juu ya ubinafishaji wa bandari na miundombinu mingine!!!...kuhujumu uchimi!
Eneo la bandari liongezwe hadi magogoni ili mkiuza muuze jumlaWewe jamaa ni hovyo au akili Huna hata nafikiria kusema hujitambui:
1. Watanzania wote 64m wanafanya kazi bandarini?
2. Serikali ilipochukua uamuzi huu unadhani hawakulijua hilo!
3. Hujui kuna kesi lukuki za wafanyakazi wa bandari kwa kutuhumiwa kuhujumu uchimi!
Unajua unacho andika kweli[emoji23][emoji23][emoji23]JW kwa sasa vyama vikiwa vinaendela kujipanga upya.
Kwani wezi ni CDM AU NI CCM? Jiulzeni mkipata jibu mnijulisheHa ha haaaa! Una options mbili. Moja kunisababisha "ban" kwa mara ya Kwanza hapa jukwaani, mbili kuja na hoja za kulisaidia Taifa kuelewa malengo halisi ya makubaliano na mikataba tajwa juu ya ubinafishaji wa bandari na miundombinu mingine!!!
Option ya kwanza Nitaweka mpira kwapani kwa sababu nipo kukabili "evils" dhidi ya Taifa letu Tanzania mitandaoni.
Option ya pili tutakwenda sawa.
===
Kama wezi wanajulikana ni hatua gani tangible mmefanya kuwadhibiti....au ndiyo mtasema waliwaroga!? Maana mna majibu "yenu magumu" hivi kuyaelewa
Peno ! Hii peleka kwenye jukwaa la katiba! Hapa ni jinsi ya kuipongeza DP World kuja Tanzania na watanzania kupata manufaa kwa ujio huoCCMni chama kinachoweza kutawala iwapo kitasimamia muundo mzuri wa katiba mpya ili
1. Wakuu wa mikoa na wilaya wachaguliwe na wananchi wa maeneo husika
2. Wakurugenzi wa Halmashauri na majiji washindanishwe kwenye inyerview
3. Wakuu wa taasisi na madhirika ya umma wateuliwe na chombo maslum sio Rais tena
4. IGP ashindanishwe kwrnye interview na sio kuteuliwa
5. Wabunge wawe na kiwango cha elimu kuanzia shahada moja
6. Madiwani wawe na elimu kuanxia F6 na kuendelea
7. Tuwe na serikali moja au Tatu ili kuulinda muungano