Wizi wa mapato ya Serikali katika Bandari ya Dar es Salaam ndiyo sababu kubwa ya DP World kukabidhiwa

Kwa wezi ni CDM AU NI CCM? Jiulzeni mkipata jibu mnijulishe
Wezi wanaowajua ni wale tuliowapa dhamana ya kudhibiti na kudhibitisha wizi huo. Na wote Wana zana za kuwashugulikia wezi hao wawe na Chama wasiwe na Chama. Sasa kama waliyopewa dhamana yankuwadhibiti wezi wameshindwa, wamechukuliwa hatua gani?
 
Ninakijua.

sasa wananchi hawana tena imani na serikali wa vyama vya siasa .
Ni miaka 60 tangu tumepata uhuru tunstwanga maji na kinu.

Next JW waongee ili tuweze kutoka tulikokwama kwa miaka 60.

Wananchi gani ambao wamechoka, ni nyie mlioko kwenye social media?

Unatumia vipimo gani kupima maendeleo yetu kabla na baada ya uhuru?

Je wakati tulipopata uhuru tulikuaje na sasa tuko hatua gani?

Unazijua serikali za kijeshi wewe, unafikiri utapata muda wa ku comment nyuma ya keyboard tena...Magufuli aliwafinya kidogo tu kila mtu alikua analia lia, leo mkipelekwa kijeshi si mtahama nchi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mama anaupiga Mwingi,Wapigaji pale bandarini ndio mnaopinga

Kodi lazima mlipe tu
Na kusimamia misitu Professor msomi Silayo naye ameshindwa kusimamia TFs anakabidhi watu ambao kwao hakuna miti wala misitu
 

Attachments

  • 1CEBD9E1-7596-4FF5-AC17-CB33E1626EFE.jpeg
    66.2 KB · Views: 2
Tazama video iliyoambatanishwa kwenye mada hii, usininyooshee mimi kidole pengine ungemnyooshea Dr Magufuli kidole kwa ziara aliyofanya bandarini kama haikuwa na tija kwa Taifa letu,
 

Hapa ndipo mlikotufikisha sasa
 

Attachments

  • 63368117-9D1D-4D70-BC6F-28FCF43FF5A9.jpeg
    109.7 KB · Views: 2
Na kusimamia misitu Professor msomi Silayo naye ameshindwa kudikamia TFs anakabidhi watu ambao kwao hakuna miti wala misitu
Hivi hili suala ni la kweli, kumbe?
===
We are encroached in an extent, which sikutegemea!!! Ndiyo maana nimeshangaa kwa nini Lavrov wa Russia hakutia mguu Dar es Salaam wakati wa ziara zake. Kumbe maelezo aliyotoa Pompeo yalikuwa kweli.
 
Peno wewe unamshutumu kuwa katumwa! Kwa lipi wakati bunge limeshapitisha. Hv kuna cha kubadilisha humu jf?? Wewe kwanini hujatumwa wakati una upto mkubwa!
Ninasubiri kauli za mzee Warioba, Butiku , JK kama ataongea kwa sababu kapiga ukimya hadi raha.
 
Peno wewe una hasira gani na magogoni!
Sina hasira na magogoni bali tukichanganya eneo la magogoni na bandari likawa na hati moja kuna uwezekano mkubwa DP World akakubali kulipa mabilioni ili tupate fedha nyingi kwasababu hatutaki kufanya kaxi na kufikiri na kujituma wenyewe tunataka fedha.

2. Mimi ni mwanamke ninaishi magogoni nikishauza eneo hilo nitaenda kuolewa hata Oman au Dubai.
3. Magogoni wengi hawajui faida yake wala hasara yake pauzwe tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…