Wizi wa mapato ya Serikali katika Bandari ya Dar es Salaam ndiyo sababu kubwa ya DP World kukabidhiwa

Pengine mpaka pale tutakapojifunza kuacha ubadhilifu kupitia DP World lakini tukiendelea kufanya ubadhilifu basi Serikali itatunyang'anya miradi yake mikubwa
Unakumbuka uchaguzi mkuu 2020 ccm ilifanya nini? Kinaitwa ubadhilifu au la?
Zilitumika Tsh ngapi kwenye uchaguzi huo ? Sio ubadhilifu huo?

Eneo lenye shida Tanganyika ni CCM, MUUNGANO NA KATIBA.
 
Unakumbuka uchaguzi mkuu 2020 ccm ilifanya nini? Kinaitwa ubadhilifu au la?
Zilitumika Tsh ngapi kwenye uchaguzi huo ? Sio ubadhilifu huo?

Eneo lenye shida Tanganyika ni CCM, MUUNGANO NA KATIBA.
Ubadhilifu ndio tatizo kubwa
 
Utagundua kuwa uongozi mbovu wa nchi ndio tatizo, kwanini serikali isidhibiti wizi huo? Au wameshindwa?
 
Utagundua kuwa uongozi mbovu wa nchi ndio tatizo, kwanini serikali isidhibiti wizi huo? Au wameshindwa?
Wameshindwa kwasababu wezi ni wengi sana, Magufuli alijitahidi kwa kiasi chake lakini alishindwa
 
Kilichojadiliwa bungeni kinaitwa nini?
Kwanini wakiupeleka bungeni?
Tusipofunguka bunge lilipitisha kwa niaba ya wananchi hivyo mkataba unakuwa ni wananchi wamekubali.
Ukataeni huo mkataba tunaibiwa
Kilichojadiliwa bungeni ni memorandum of association hatua inayofuata ni article of association ambao ndo mkataba wa uendashaji bandari sasa! Unauliza kwanini umepelekwa bungeni? Utawala wa Samia ni wa ukweli na uwazi hapendi mambo ya gizani so kumbe nyie hamkupenda uje bungeni?
 
Mbongo ukimpa kanafasi kidogo tu ni mwendo wa kuiba vibaya mno, pale bandarini kuna mianya mingi sana ya upigaji wacha wawekezaji wafanye kazi yao tuone ufanisi wao ukoje kulinganisha na hawa wabongo nafikir tutapata majibu soon watapoanza kuopareti.
Unaxungumzia kuona ufanisi wao vip kama ufanisi wao utakuwa mbovu kuliko wabongo na wew ume ingia nao mkataba mrefu utasuburi ujute?

Usifanye kujaribu unatakiwa kuamua kwa pamoja

Hofu za wengi ni Muda wa mkataba

Pili kwann wapewe Bandari zote Majin na nchi kavu?
Maziwa na bahari paka mito mana wanasema ikiwa zitatokea fulsa wata juliswa hii Ina mana gani?

Shida sio DPW shida mkataba
 
Shkamoo
 
Wameshindwa kwasababu wezi ni wengi sana, Magufuli alijitahidi kwa kiasi chake lakini alishindwa
Huko ni kushindwa kuongoza,,juzi kuna mdau alisema kama wizi ndo umetupelekea kuingia huo mkataba usio na ukomo,,basi hata wizara na halmashauri tuwape maana nako kuna wizi,,Serikali ijitathmini hoja ya wizi ni ya kitoto wapambane na huo wizi,,
 
KAMA UWEKEZAJI NA UUZWAJI WA BANDARI NI KUTOKANA NA UWIZI.
BASI USISAHAU UWIZI UKO SEKTA ZOTE TANZANIA.
KWAMBA VYEMA TUKAWAPA WEUPE, IDARA, WIZARA NA IKULU WATUSIMAMIE KWA MUDA ANGALAU MIAKA 50 HIVI.
 
Mnapokuwa mnatetea hoja ya hawa DP,mnasema hawachukui bandari zote kama ilivyoandikwa kwenye mkataba.zaidi pia mnasema hata hapo hapo bandari ya Dar,mnasema wanachukua gati walizokuwa nazo TICTS,na TPA wanabaki na shughuli zao walizokuwa nazo.

Gafla tena mnasema wafanyakazi wa bandari wataachishwa kazi,mbona kwa hizo gati walizokuwa nazo TICTS,wafanyakazi wa bandarini hawakufukuzwa?

Mnajichanganya sana kwenye utetezi wenu huu,kila mmoja anakuja na lake
 
uk

Nimekuelewa mkuu, kama uhalisia upo hivi mkataba wa DP-WORLD na Tanzania upo sahihi, nina mashaka hawa wanaoupinga wote wezi hapo bandari.
 
Kwahyo we unafikiri anae iba huko bandarini ni mkulima wa kawaida au ni hao hao wanao lalamika, kiufupi wanaolakamika ndo haohao wanatuhujumu
 
Hiv unaelewe kitu kinachotakiwa kijadiliwe bungen nini mkuu au unaongea tu. Au hukumsikia spika
 
Kiongozi Kitali! Wabunge wako kwani wewe huwaamini! Mkuu achana na ushabiki wa social media!
Bro mimi sio mshabiki Chief na Mimi cna shida na wawekezaji nina shida na terms na condition za huo mkataba tu. Lakin pia shida ya bandari yetu sio kushindwa kukusanya hela ni kuingiliwa na serikali.
 
Usifananishe nchi na kiwanda watu hawapingi hayo watu wanapinga mkataba
 
Sawa mkataba umepita ila wakisha kuja hapa tanganyika wakakuta kila kitu wanasimamia wao watakimbia kwa woga na hofu kwani shujaa ajae kazi yake ya kwanza itakuwa kumtoa dp world
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…