Hizi Pasi fupi fupi za spain ni kama vile Arg wamekosa mbinu ya kuzivunja ili wamchezeshe Messi au Messi achezeshe timu kama kawaida yao.Kufukuza upepo ni kazi ngumu, wakiishiwa pumzi wanakuwa wanapokezana
Sema kipa mbovu kweli.Utoto mwingi. Kwa kipa yule, anapiga shuti kama miguu haina nguvu.
Mbona nyingi sana mkuuArgentina nawaminia spain itakula 2-0
Ni kama messi ameachwa au hawajui namna ya kudhibiti mchezo wa spainHizi Pasi fupi fupi za spain ni kama vile Arg wamekosa mbinu ya kuzivunja ili wamchezeshe Messi au Messi achezeshe timu kama kawaida yao.
Kabisa.Ni kama messi ameachwa au hawajui namna ya kudhibiti mchezo wa spain
Mbuzi wa kafara.Kirefu cha GOAT ni nini?
Timu I am back wameshangilia mtu kutolewa.Nasikia mashangilio wakuu nani kafunga
Duuh, kwa maana hiyo bado ni bila bilaTimu I am back wameshangilia mtu kutolewa.
Wotw wanaogopa kupata aibu.Machi mbovu utadhani ya yanga na azam
Yup!Duuh, kwa maana hiyo bado ni bila bila