Wosia wa Hayati Magufuli ”Mtanikumbuka” Unatimia

Kwa mtu mwenye akili ya wastani tu unatakiwa kujua umeme wa maji si wakutegemewa maana unategemea kudra za Mungu, isiponyesha mnatumia vibatari.
Kukimbilia bwawa na kuacha gas ambayo ipo kinyerez tayari ilikuwa inahitaji mitambo tu ilikuwa ni mpango wa kijinga. Gas ipo tu inyeshe mvua isinyeshe
 
Jpm alikuwa sheitwani.tunamuomba mungu asizaliwe anauefananan na jpm tena
 
Ukisahau kwamba maisha ni foleni au? Lamba tuu shubiri maana miaka 5 ulilamba asali na Sasa ni zamu ya wengine..

Mwisho utamkumbuka wewe.
 
Kinachorudishwa ni kile alichoingiza yeye kama yeye!
Na sio michango ya mwajiri iliyoingizwa kwenye mfuko husika.
Ni katika jitihada za walamba asali kutafuta uungwaji mkono hata kwa njia zenye utata mkubwa!
Nchi hii kuna watu wanatakiwa wacharazwe viboko hadharani MKUU.
 
Hamuwezi mkwepa Magufuli nchi hii.
Kivuli chake kinawatesa mwanzo-mwisho kinachoendelea ni kuweweseka tu!

Rudi darasani ili umiliki cheti kipya kama umri bado unaruhusu.
Kumtukana Magufuli hakutakuwekea Ugali Mezani.
Wewe ambaye ulikuwa unakula kwa uwepo wake madarakani ndiye unateseka,sisi tunaoishi kwa kujitegemea hatuna mateso yoyote
 
R.I.P rais wangu, uliletwa na Mungu kutuonesha kuwa inawezekana hivyo mtu akisema haiwezekani maana yake sio muwajibilaji, Kisha Mungu akakuchukua ukapumzike.
Tunaona kuwa uliyoweza kwa kipindi kifupi wapo wanaodai sasa hayawezekani...
RIP
 
Wewe ambaye ulikuwa unakula kwa uwepo wake madarakani ndiye unateseka,sisi tunaoishi kwa kujitegemea hatuna mateso yoyote
Uzuri jamaa kaanza na angalizo kwa wale vyeti fek watakuja tema nyongo, tapika nyongo mkuu uwanja wako..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…