Mda ndio kila kitu, wacha tuiachie saa iamueaisee...nlifikiri mimi tuu ndio nimeona hilo! kwanza kwa promo alilompa huyo mke mtarajiwa kunatupa wasiwasi, ni kama vile labda hakuamini kama angempata......lakini mda ndio tiba ya haya mambo...kuna kitu tutakielewa tuu mda ukimbariki...and i hope i am wrong
Kulialia ni sign za kuonyesha weakness for a man,Sio kwamba hatutakiwi kulia,inapokuwa ni jambo la huzuni sana inabidi kulia lakini sio kwa vitu ambavyo sisi wanaume wengi hatuoni/hatuamini kuwa kuna sababu ya kulia,ndio maana hata kama inabidi kulia inabidi ujifiche uli usionyeshe kuwa unalia na huo ndio uanaume dunia nzima sio kwa Boko Dar es salaam peke yake..
Hahah ndio maana wanawake inabidi tuwatangulie mbele always. Angalia tu thinking ya Rebbecca hapo, yeye anawaza moyo wake ujazike na furaha kwa sasa tu ujilize mbele yake afurahi ila siku ada ya mtoto ikikosekana ukianza kujiliza atakutolea shombo badala akufariji muendelee kulia pamoja. Hahahah huyo ndio mwanamke.
Hiyo ni mwanzo wa safari ya ndoa sio mashindano, mwanaume ndio kichwa cha familia sasa anaonyesha udhaifu kwenye jambo jepesi kwenye jambo gumu si atafariki kabisa.
Kulia si udhaifu, Ila kulia hovyo bila sababu kubwa ya msingi ni ujinga.mnhhh kweli tuko tofauti,nimesharudia mara kumi,kulia sio udhaifu...
Huyo muuza kahawa wa dom bado mshamba sana na mkofia wake km shefu wa shishifood.
Sent using Jamii Forums mobile app
I'll take charge ipatikane kwa namna yeyote, ikibidi ntaweka hata bond assets zangu. Ila wewe ungependa tukae na kulia kwamba January imefika hamna ada tujifungie ndani tulie mtoto anashinda nyumbani sina hela mke wangu.mnhhhhhhhh..ndio maana mnakula kiapo for good for worse..sasa ada ikikosekana kwako wewe Extrovert unafanyajeβ¦.???..mnhhh
I'll take charge ipatikane kwa namna yeyote, ikibidi ntaweka hata bond assets zangu. Ila wewe ungependa tukae na kulia kwamba January imefika hamna ada tujifungie ndani tulie mtoto anashinda nyumbani sina hela mke wangu.
Hahah sema tu its opposite wakati mwenye hio character kama yako katika 100 wanaweza kuwa wawili. 98 wote wanataka Alpha males. What i see uko so emotional.its opposite,wanawake tunapenda mtu anayeonyesha kutujali tena kupita kiasi..lol
Sasa naliaje ikiwa hamna sababu ya kulia. Kitu cha kufanya maamuzi we unalia. I concur it doesnt make less of a man ila si tabia nzuri kwa mwanamume kulia lia ovyo.mnhhh kulia ndio kunakuzuia kufanya yote hayo???hunielewi,kulia doesn't make a person less a man,bye!
Sasa naliaje ikiwa hamna sababu ya kulia. Kitu cha kufanya maamuzi we unalia. I concur it doesnt make less of a man ila si tabia nzuri kwa mwanamume kulia lia ovyo.
Hahah we wafaa kuwa mwanamke wangu, dume linaliaje kipuuzi badala ya kukomaa kiume. Yani nakuvisha pete nikakulishe bure for the rest of your life halafu nijilize mbele ya makamera! You must be the one to cry maana ndoa sio kitu ya mchezo mchezo siku hizi.Binafsi simtaki mwanaume anayelialia hovyo πππππππππ. Inabidi nilie mimi anibembeleze
Hahah sema tu its opposite wakati mwenye hio character kama yako katika 100 wanaweza kuwa wawili. 98 wote wanataka Alpha males. What i see uko so emotional.
Mi nimekuwa na more than one relationship, katika wanawake nilioachana nao kwa sababu moja ama nyengine wengi walini bully kwa sababu i was very concerned about everything. I was really nice close to perfection. Najali sana, i sacrifice a lot nipo radhi niache mambo nayopenda kwa ajili ya ku fulfill matakwa ya mpenzi wangu ili tu nimfurahishe ila i always ended up kuonekana mbulula then i was fuckking cheated on kwa dharau mingi. Miongoni mwao who treated me right ni mmoja tu regardless how nice i was alikuwa na mapenzi zaidi kwangu.
Eversince nikajifunza how to be a man sahivi mapenzi hayanisumbui wala. Nuff Respect!!!
Tatizo wanawake wa Dar hamwelewekiWanaume wa mikoani wakifika dar hadi huruma aiseee
Anaweza kuwa mwepesi making judgements ila kuna doubts nyingi katika judgements zake. Kuwa emotional sio sifa ya mwanaume, but kuwa logical ndio sifa ya mwanaume. It depends na wewe unataka mwanaume wa design gani ila kama uko kwa upande wa emotional men basi MC washawasha is the way to go!mnhhh,kulia doesn't guide our future behaviour/events...unless una proof kuwa kulia kunamfanya mtu asiwe mwepesi ku make judgments au kufanya yote anayopaswa kufanya kama mwanaume...
Anaweza kuwa mwepesi making judgements ila kuna doubts nyingi katika judgements zake. Kuwa emotional sio sifa ya mwanaume, but kuwa logical ndio sifa ya mwanaume. It depends na wewe unataka mwanaume wa design gani ila kama uko kwa upande wa emotional men basi MC washawasha is the way to go!
Bora umekuwa honest aiseeBora aneyelia chumbani, huyu anayelia hadharan na macamera yana mmulika ni upimbi wa kiwango cha juu
Huwezi kuwa Chadema na CCM kwa pamoja hata kama kiitikadi lazima kuna upande utaelemea zaidi!Kwa hio unakataa mwanaume hawezi kuwa emotional at the same time logical...??
Yeye mwenyewe anakiri amekula sana mitoso huko wayback. Hamna mwanaume ambaye hajawahi kusumbuliwa na mapenzi hasa hao waliopo emotional na kupenda blindly.Experience yako ni tofauti na watu wengine and certainly sio sawa na huyo Mc aliyelia,
wewe ulitendwa sana ukaamua kufanya jambo tofauti,mbona unamkomalia mwenzako unajua aliyopitia ??? lol