Ya MC Pilipili hayapaswi kufanywa na mwanaume rijali

aisee...nlifikiri mimi tuu ndio nimeona hilo! kwanza kwa promo alilompa huyo mke mtarajiwa kunatupa wasiwasi, ni kama vile labda hakuamini kama angempata......lakini mda ndio tiba ya haya mambo...kuna kitu tutakielewa tuu mda ukimbariki...and i hope i am wrong
Mda ndio kila kitu, wacha tuiachie saa iamue
 
Kulialia ni sign za kuonyesha weakness for a man,Sio kwamba hatutakiwi kulia,inapokuwa ni jambo la huzuni sana inabidi kulia lakini sio kwa vitu ambavyo sisi wanaume wengi hatuoni/hatuamini kuwa kuna sababu ya kulia,ndio maana hata kama inabidi kulia inabidi ujifiche uli usionyeshe kuwa unalia na huo ndio uanaume dunia nzima sio kwa Boko Dar es salaam peke yake..

No kulia sio sign ya kuonyesha weakness..kulia ni sign ya kuexpress what one feels...ni aina ya kudeal na current events,iwe joy ama sadness..to be honest I think our bodies/brain stays at equilibrium kama hatuna linaloendelea...ila tukipata jambo linalotufanya tuwe sad ama joyful lina disturb equilibrium,so kulia ni automatic mechanism kurudisha everything at equilibrium again...( hii ni wazo tu halijathibitishwa kisayansi 😀😀😀😀)...again,kila mtu ana experiences zake kichwani mwake..labda kwa jambo la huyu Mc alishawahi kutendwa sana,alishawahi kuwa rejected sana,so this relationship is important sababu imemletea furaha,despite what every one says about the woman,hapa hivi vidude vyetu vingekua vinasoma metre kama luku nadhani tungekimbiana humu,utakuta wengine wanaomponda huyu dada ,girlfriends zao wako worse...
 
Hahah ndio maana wanawake inabidi tuwatangulie mbele always. Angalia tu thinking ya Rebbecca hapo, yeye anawaza moyo wake ujazike na furaha kwa sasa tu ujilize mbele yake afurahi ila siku ada ya mtoto ikikosekana ukianza kujiliza atakutolea shombo badala akufariji muendelee kulia pamoja. Hahahah huyo ndio mwanamke.

mnhhhhhhhh..ndio maana mnakula kiapo for good for worse..sasa ada ikikosekana kwako wewe Extrovert unafanyaje….???..mnhhh
 
I'll take charge ipatikane kwa namna yeyote, ikibidi ntaweka hata bond assets zangu. Ila wewe ungependa tukae na kulia kwamba January imefika hamna ada tujifungie ndani tulie mtoto anashinda nyumbani sina hela mke wangu.
 
mnhhh kulia ndio kunakuzuia kufanya yote hayo???hunielewi,kulia doesn't make a person less a man,bye!
 
its opposite,wanawake tunapenda mtu anayeonyesha kutujali tena kupita kiasi..lol
Hahah sema tu its opposite wakati mwenye hio character kama yako katika 100 wanaweza kuwa wawili. 98 wote wanataka Alpha males. What i see uko so emotional.

Mi nimekuwa na more than one relationship, katika wanawake nilioachana nao kwa sababu moja ama nyengine wengi walini bully kwa sababu i was very concerned about everything. I was really nice close to perfection. Najali sana, i sacrifice a lot nipo radhi niache mambo nayopenda kwa ajili ya ku fulfill matakwa ya mpenzi wangu ili tu nimfurahishe ila i always ended up kuonekana mbulula then i was fuckking cheated on kwa dharau mingi. Miongoni mwao who treated me right ni mmoja tu regardless how nice i was alikuwa na mapenzi zaidi kwangu.

Eversince nikajifunza how to be a man sahivi mapenzi hayanisumbui wala. Nuff Respect!!!
 
mnhhh kulia ndio kunakuzuia kufanya yote hayo???hunielewi,kulia doesn't make a person less a man,bye!
Sasa naliaje ikiwa hamna sababu ya kulia. Kitu cha kufanya maamuzi we unalia. I concur it doesnt make less of a man ila si tabia nzuri kwa mwanamume kulia lia ovyo.
 
mnhhh,kulia doesn't guide our future behaviour/events...unless una proof kuwa kulia kunamfanya mtu asiwe mwepesi ku make judgments au kufanya yote anayopaswa kufanya kama mwanaume...
 
Binafsi simtaki mwanaume anayelialia hovyo 😂😂😂😂😂😂😂😂😂. Inabidi nilie mimi anibembeleze
Hahah we wafaa kuwa mwanamke wangu, dume linaliaje kipuuzi badala ya kukomaa kiume. Yani nakuvisha pete nikakulishe bure for the rest of your life halafu nijilize mbele ya makamera! You must be the one to cry maana ndoa sio kitu ya mchezo mchezo siku hizi.
 
Hahah sema tu its opposite wakati mwenye hio character kama yako katika 100 wanaweza kuwa wawili. 98 wote wanataka Alpha males. What i see uko so emotional.

Mi nimekuwa na more than one relationship, katika wanawake nilioachana nao kwa sababu moja ama nyengine wengi walini bully kwa sababu i was very concerned about everything. I was really nice close to perfection. Najali sana, i sacrifice a lot nipo radhi niache mambo nayopenda kwa ajili ya ku fulfill matakwa ya mpenzi wangu ili tu nimfurahishe ila i always ended up kuonekana mbulula then i was fuckking cheated on kwa dharau mingi. Miongoni mwao who treated me right ni mmoja tu regardless how nice i was alikuwa na mapenzi zaidi kwangu.

Eversince nikajifunza how to be a man sahivi mapenzi hayanisumbui wala. Nuff Respect!!!

Experience yako ni tofauti na watu wengine and certainly sio sawa na huyo Mc aliyelia,

wewe ulitendwa sana ukaamua kufanya jambo tofauti,mbona unamkomalia mwenzako unajua aliyopitia ??? lol
 
mnhhh,kulia doesn't guide our future behaviour/events...unless una proof kuwa kulia kunamfanya mtu asiwe mwepesi ku make judgments au kufanya yote anayopaswa kufanya kama mwanaume...
Anaweza kuwa mwepesi making judgements ila kuna doubts nyingi katika judgements zake. Kuwa emotional sio sifa ya mwanaume, but kuwa logical ndio sifa ya mwanaume. It depends na wewe unataka mwanaume wa design gani ila kama uko kwa upande wa emotional men basi MC washawasha is the way to go!
 
Kwa hio unakataa mwanaume hawezi kuwa emotional at the same time logical...??
 
Experience yako ni tofauti na watu wengine and certainly sio sawa na huyo Mc aliyelia,

wewe ulitendwa sana ukaamua kufanya jambo tofauti,mbona unamkomalia mwenzako unajua aliyopitia ??? lol
Yeye mwenyewe anakiri amekula sana mitoso huko wayback. Hamna mwanaume ambaye hajawahi kusumbuliwa na mapenzi hasa hao waliopo emotional na kupenda blindly.
 
Back
Top Bottom