Ya MC Pilipili hayapaswi kufanywa na mwanaume rijali

Mimi wyf alipiga yeye!! Hahaha , eti akaniambia "piga magoti basi" , yani mbele ya wazazi wa pande zote mbili duh;;; nikamwambia "utapiga wewe, Fara wewe" 😁
Hata mie wa kwangu alitaka nipige magoti nikakataa akanunaa! Mshenga akaniambia yaani ungepiga goti hapo ningerudi Dar sasa hivi! Tunaiga tu bila hata kujua. Mwanaume rijali. Wa kiafrika hutakiwi uwe hivyo. Unajua hata hii cheza cheza kwenye ndoa mnaingia ukumbini mnacheza ni ndoa zenu hizi za kuanzia 2010 nadhani na kuendelea. Mnaiga wa Nigeria. Enzi zetu unakutana na best man kauzu ana moustach kama bumper la vokswagon hakuruhusu hata kutikisika. Kipande cha keki au nyama kinapimwa kwa rula.
 
Hata mimi nashangaa yaani aogope kulia, kupiga magoti mbele ya sweet wake kisa ni mwanaume Jamaniiii MAPENZI HAYANA KOMANDO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…