Vijiwe vya mtaani siyo
Acha tu waendele kujadili mipira,umbea,maisha ya watu ni bora kwao
Kuna mambo sahv hayajadiliki vijiweni πŸ˜„

Ova

Bora wakae tuu nyumbani. Kufika kijiweni na kuanza kujadili na kusengenya wapita njia. Kujadili majirani ni aibu sana kwa mwanaume tena mtu mwenye familia
 
Habari za Jumapili mkuu?
Sawa kiongozi. Ndio umuhimu unakuja wa kuwa na watu mnaoongea mambo ya kufanana, hasa kama ni ya maendeleo.
Weekend njema sana mkuu, sijui kwako!
Ni kweli, ukikaa na watu mnaoendana fikra mtaongea vinavyoendana.
 
Ulitoroka kwenye vikao vya wanaume mkuu...!
 
Hiyo ni nature ya mtu hata maofisini kuna watu wanapenda umbea sana
Mpaka bosi naye yumo πŸ˜„

Ova

Ni kweli.
Tabia inatabia ya ku adaptiwa. Ukikaa na mtu mbeya kwa muda utashangaa na wewe unaanza vile vijitabia vya umbea wa hapa na pale
 
Hivi mtibeli ni nani?!! Simaanishi huyu mleta mada Bali namaanisha maana ya hilo neno kama neno
 
πŸšΆβ€β™‚οΈπŸšΆβ€β™‚οΈπŸšΆβ€β™‚οΈ
 
Huyu Juma, Jerald, na Aloyce wakaa hapa kijiweni halafu ukaatiza mbele yao watakusema hadi miguu iishiwe na nguvu aisee.

Kwa hakika hawa wanaume ni kama mabinti.
 
Wewe kipi kinakufanya ukatae?

Ukisikia Wenye dhambi waliokaa na Yesu, unakataaje Maashoga hawakukaa naye? Kwani mashoga sio wenye dhambi?
Watu wengi wanafikiri mitume na manabii walitumwa kuwahubiria watu wasiyo na dhambi....
Kama kusingekuwa na mashoga basi nabii Luti hasingetumwa.
 
Shenzi mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…