Yaliyojiri harusi ya AY February 24,2018; Wasanii kibao akiwemo GK walialikwa

Mziki sikuhizi unaenda na Kiki so kwa upande wangu nadhani GK alivaa vile ili kupata attention especially kwa wasio mjua au kumfahamu.
Something coming soon from King Crazy GK i think so
 
Hongera kwa Ay kuaga ukapera.watu walipendeza balaaa isipokuea GK aliharibu shughuli ya mwenzake kama hakuwa na nguo ya kuvaa ni bora angechill home tu.aliboa kishenzi
Analeta usela wakati sura inasuta umri
 
 
Dhaaaaaaaa ndoto zang
Na mm n kuoa mnyaruanda
Ila naona zkififia tu dhaa!!

Salha popote ulipo
 
Una akili boyaaa hujui ulisemalo.tatizo liko wapi hapo akisema ni mnyarwanda?? Hivi unajua hata hizo Rwanda na Burundi zilikua nchi moja na Tanganyika enzi hizo. Kichwa chako kimejaa mavi.. wivu tu.
 
Kuna huyu kijana anajiita mcpilipili mjinga sana wala hata hajui kuchekesha kila siku ohh nataka mnyaruanda. Mtu mnzima hovyo.
 
Yote hayo yanini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…