Yaliyojiri Karimjee: Zoezi la kuaga mwili wa Marehemu Dkt. John Kijazi, rais Magufuli atoa neno

Yaliyojiri Karimjee: Zoezi la kuaga mwili wa Marehemu Dkt. John Kijazi, rais Magufuli atoa neno

Kama hali iko hivyo huko wanakofanya juhudi, imagine kama wadingechukua hatua. Lakini Kumbuka kuwa kuna nchi kama Australia na New Zealand zimetumbia mbinu hizo effectively na Corona iko under control such that watu wana kwenda uwanja I kuangalia tennis. Science haidanganyi!!
Soma hiyo

Further pause on New Zealand green zone flights​

A statement from Australia's Chief Medical Officer, Professor Paul Kelly about a further pause on New Zealand green zone flights.
  • Listen
  • Print
  • Share

Date published:
17 February 2021
Media type:
Media release
Audience:
General public
On the advice of medical experts, the Australian Government has extended the move to classify all flights originating in New Zealand as Red Zone flights for up to a further 72 hours. The Chief Medical Officer and the Australian Health Protection Principal Committee (AHPPC) will continue to monitor the situation and provide revised guidance every 24 hours as further testing results become available.

All passengers on flights originating in New Zealand up until 12.01am (AEDT) on Sunday, 21 February, will need to go into 14 days of supervised hotel quarantine on arrival in Australia and adhere to the requirements of the State and Territory in which they enter.
This follows a meeting of the AHPPC today at which Green Zone flights from New Zealand to Australia were discussed.

Three new cases tested positive on 16 February 2021 bringing the total cases in the cluster to six. Time is required to complete the testing of contacts of the first three cases and contact tracing of the three new cases to determine if there is any spread in the community and the potential risk from people travelling quarantine free to Australia.

We appreciate that New Zealand is continuing its investigation. However, it remains a concern that the source of the infection in the community remains unknown; these cases have not travelled internationally nor have been in quarantine facilities.
A further 72 hour pause provides the time required to confirm this cluster remains contained.
 
Nakubaliana na wewe Rais lazima atoe tamko. Yeye ndo alisema corona haipo imekwenda zake na yeye ndo alikuwa akikebehi wanaovaa barakoa. Mnakumbuka kila wakati akiwa kwenye tukio la kitaifa alikuwa anasema tumeishinda corona, si unaona hapa hatujavaa barakoa?
Kibwetere aliwafanya wenzake hivihivi
 
Hii inazihirisha kwamba katika Nchi yetu, Rais ni mfumo imara zaidi ya, wenye nguvu zaidi ya mfumo wenyewe, means TISS. US Wana TISS ambayo ina nguvu zaid ya Rais. Rais akileta ujinga wake na uendawazimu wake, mfumo unakataa. Kwetu sisi, tunaweza tukawa na Rais mwendawazimu, na bado mfumo usifanye lolote. Tuna mfumo unaolinda Rais zaid kuliko wananchi.

Lissu ameshalibashiria hili Taifa kila kitu. Ameshalisemea kila neno. Mengine tumeshajionea, na mengine are soon coming. Aliposema Tuna Rais wa kjabu kuwahi kutokea, some didn't catch up. Rais tuliye naye ni king'ang'anizi, haambiliki Nyerere akasome.Tuna Rais mhavidhina Republicans wakasome. Rais bichwa ngumu haswaa. Anadhani akibadilisha approach Ni udhaifu?!
 
Muulize Mnyika alitaka Magufuli amfanyie nini ambacho kimefanyika kwingineko kilichoondoa corona?

Yani anataka Magufuli afanye nini ili watu wasife?

Akubali kuwa tatizo lipo. Ahimize wananchi kuchukua tahadhari siyo kujidai eti sana imani kwa Mungu, kuwa na imani bila kuwa na tahadhari ni upumbavu. Ni sawa na kumjaribu Mungu
 
Rais kama hakuamini kuwa Kijazi kafa na nini, hawezi elewa somo ni kila mtu ajipambanie tu.
 
rais angehimiza uvaaji barakoa kwa watendaji wake na watanzania kwa ujumla yumkini kijazi angekuwa hai leo.
 
Katibu mkuu wa chama kilichokataliwa na wananchi.
 
Swali lakitoto sana hili?
Hivi huoni kwamba hata kuwaaminisha watu kwamba tanzania hatuna corona ila kunamatatizo yakupumua kunasababisha watu kuondoa umakini na kuongeza kasi ya maambukiz?

Huoni kwamba miili ya waliokufa na corona mazishi yake ilihitaji usimamizi wa watu wa afya ili kuondoa ama kupunguza uwezekano wa maambukizi kwa wafiwa?

Hivi huoni kwamba viongozi akiwemo na raisi mwenyewe hawaoneshi umakini,mfano leo kwenye kumuaga balozi kijazi wengi wao including raisi hawakuvaa barakoa?

Kimsingi serikali inachowaza kwa sasa ni kukusanya kodi hakuna lazaidi.
Acha porojo zako hapa?

Ni wapi ambako hayo uliyosema yamesaidia?
 
Mpuuzi,mzandiki,mpumbavu,mshenzi.Ngoja wa karibu yako wapukutike ndio uje humu kuandika huu upumbavu.Majitu mengine Ni kujitoa fahamu tu. Yaani huelewi hata ule wajibu wa kiuongozi alio nao rais kwa wananchi wake.

Serikali gani inayoweza kuona watu wake wanakufa na haichukui hatua zozote. Kuna watu wamekufa hadi 4 ktk familia moja.
Sasa unamtolea nani hii miahasira yako hapa?

Hizo hatua unazotaka selikali ichukue ni zipi?
 
Muulize Mnyika alitaka Magufuli amfanyie nini ambacho kimefanyika kwingineko kilichoondoa corona?

Yani anataka Magufuli afanye nini ili watu wasife?
Aseme.jinsi alivyoweza kuimarisha huduma za afya kukabiliana na Nimonia kali sio hiki ninachokiona sasa kwenye mahospital ya serikali hata PPE za wahudumu wa afya hakuna .Atuambie ameimarisha vipi mifumo ya afya,serikali inamikakati gani na sio kukejeli ugonjwa kama jana serikali ina majukumunyake na wananchi wana majukumu yao.Sasa hivi serikali imejiingiza kwenye majukumu ya wananchi
 
Mtu mzima Mungu kakupa na zawadi ya utimamu na nguvu za kuandika umepewa, unataka magufuli atangaze? Kama umeshaelewa mziki kwa nini usiucheze kwa nafasi yako? Wewe umeshajua Covid ipo na ni hatari kwa nini usianze wewe kuhimiza watu kuchukua tahadhari? Kwani lazima Raisi aseme🤔
Unajua nguvu ya kauli ya Rais au hujui?Raia mmoja anaweza kuzuia msongamano kwenye madaladala?Au kwenye viwanja vya michezo?Au kufunga mashule kwa muda?
Acheni ujinga, hapa kuna role ya Rais inatakiwa ili kulinda wapiga kura wake.
 
Aseme.jinsi alivyoweza kuimarisha huduma za afya kukabiliana na Nimonia kali sio hiki ninachokiona sasa kwenye mahospital ya serikali hata PPE za wahudumu wa afya hakuna .Atuambie ameimarisha vipi mifumo ya afya,serikali inamikakati gani na sio kukejeli ugonjwa kama jana serikali ina majukumunyake na wananchi wana majukumu yao.Sasa hivi serikali imejiingiza kwenye majukumu ya wananchi
Hayo unayosema mbona ni mambo yanayoelezwa bungeni.?

Alafu majukumu ya selikali ni yapi na ya wananchi ni yapi?
 
Unajua nguvu ya kauli ya Rais au hujui?Raia mmoja anaweza kuzuia msongamano kwenye madaladala?Au kwenye viwanja vya michezo?Au kufunga mashule kwa muda?
Acheni ujinga, hapa kuna role ya Rais inatakiwa ili kulinda wapiga kura wake.
Hayo ndio yanazuia corona?
 
Muulize Mnyika alitaka Magufuli amfanyie nini ambacho kimefanyika kwingineko kilichoondoa corona?

Yani anataka Magufuli afanye nini ili watu wasife?

Mwaka jana maambukizi yalipungua kwa kumuomba Mungu na kuhamadisha wanachi kuchukua tahadhari za ugonjwa!!

Sasa hivi, hakuna tahadhari bali muombeni Mungu utakwisha ugonjwa!! Serious???

Na wanachi tuna tabia ya kuamini viongozi kwa kila walisemalo! Haihitaji kufunga nchi, wala mtaa!! Hamasisha wananchi kuchukua tahadhari huku maisha yanaendelea na maombi yanafanyika!! Simple tu!

Hakuna tahadhari, hakuna chochote, tutaupunguza vipi?? Hata huyo Mungu atauondoa vipi??
 
umeandika kizalendo sana !
 
Back
Top Bottom