Kishimbe wa Kishimbe
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 5,566
- 5,477
Talk to the hand! 👊Acha uongo!
😅
👊 ✌️✌️✌️💥
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Talk to the hand! 👊Acha uongo!
Pesa hakunaIla siku hizi watu wamekata tamaa na CDM asee mana ile 2015 ilikuwa ukichelewa kidogo kufika eneo la tukio usingepata nafasi ya kusimama hapo jirani labda ukasimame Mita kama mia tatu hivi hata mgombea humuoni
Kwa umati ule Arusha ikasomeNikasikia vijana wanasema kwenye video Arusha cha mtoto!! Arusha ikasome kwanza! Hakika yalikuwa ni mafuriko! Mzee baba lazima ashikwe tumbo la kuhara!
Mwisho wa siku utaanza kuokota makopo!Anaenda tu kukamikilisha ratiba Mwanza kule huwaambii kitu kuhusu Magufuli. Na kwa kuwa Lisu amekuwa akiponda ujenzi wa reli ya mwendokasi kwenda Mwanza atapata jibu Leo wengi hawataenda mkutanoni
Tena Mwanza mjini linashushwa daraja la nguvu Busisi
kwa watu walio soma vileee vitabu vya literature kuna mambo Yana reflect kabxaa mfano kwenye “An Enemy Of The People” Tundu Lissu anasimama kama Dr. Stockman pia kuna “His Excellency the Head of The State” Humu unamkuta Makonda na Magufuli By the way Literature is realLissu hawajui watu wa Mwanza.
Wasukuma hawanaga shida.
Wasukuma ni wachangamufu
Wasukuma wanapenda kufurahi
Kwa wasukuma kipindi hiki cha kampeni ni kipindi cha burudani na kufurahi.
Ni kipindi cha kusikia porojo mbali mbali kutoka kwa wanaogombania (siyo wagombea bali wagombania) urais, ubunge na udiwani; wakijua fika ni porojo tu za kutafuta ulaji (kula siyo kura).
Ni kipindi cha kuwaona live wanamuziki na wasanii mashuhuri nchini bila kulipia kiingilio cho chote.
Hivyo aje Lissu watajaa, aje Membe watajaa, aje Lipumba watajaa, aje Mbatia watajaa hivyo hivyo.
Akija Magifuri hapo sasa ni balaa, hakuna uwanja utakaotosha: kwani kama ni wanamuziki au wasanii mashuhuri nchini huwa ameambatana nao karibu wote.
Taabu ya wasukuma, wengi wa hao wanaojaa kwenye hizo kampeni (burudani) huwa hawaendi kupiga kura kwani huko hakuna burudani yo yote. Wengi wao wala hawakujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura.
Wengi wa watakaopiga kura walishaamua kitambo nani watampa kura zao. Hawa huwezi kuwabadilisha maamuzi yao kwa porojo za mikutano ya kampeni na hivyo huwa wala hawahudhurii au kusikiliza porojo hizo. Hawa mtu wao ni Magufuri tu. Piga ua wao ni Magufuli na CCM basi.
Tundu Lissu Mwanza;
Viwanja vyote vya ndege vilianzishwa na Waingereza isipokuwa KIA, Songwe na Chato.
Reli inayokuja Mwanza ilijengwa na Waingereza.
Reli ya Tanga hadi Arusha ilijengwa na Wajerumani.
Reli ya Kati ilijengwa na Wajerumani.
Reli ya TAZARA ilijengwa na Nyerere kwa msaada wa Wachina.
Bandari ya Mwanza ilianzishwa na Wajerumani.
Bandari ya Kigoma ilianzishwa na Wajerumani.
Bandari zote kubwa za bahari ya hindi zilianzishwa na Wajerumani.
Hata ikulu ya Dar es salaam ilijengwa na Wajerumani na baadae ikaboreshwa na Waingereza.
Kwanini tuliwakataa Waingereza na Wajerumani?
Ni kwa sababu utawala wao haukuwa wa haki.
Oktoba mwaka 1968 Mwalimu Nyerere alichapisha andiko lake liloitwa Uhuru na Maendeleo.
Mwalimu alisema, Uhuru na Maendeleo ni kama Kuku na Yai. Hupati Kuku bila Yai na hupati Yai bila Kuku. Hupati maendeleo bila Uhuru na hupati Uhuru bila maendeleo. Maendeleo lazima yahusishe watu. Vitu kama barabara, majengo makubwa, reli nk sio maendeleo, bali ni nyenzo za kutuletea maendeleo. Hakuna maana kama tunajenga mabarabara halafu raia wanakamatwa hovyo kwa sababu ya kumuudhi mtu mwenye madaraka.
Lissu akaendelea.
Sikatai kuwa ujenzi wa barabara ni jambo zuri. Sikatai ujenzi wa reli ni jambo zuri.
Lakini utawala wa haki ni muhimu kuliko hayo yote.
------------------------------------------------------------------------------------------------------
Rais wa Marekani, Ronald Reagan aliwahi kusema maneno kama hayo. Akaongeza kuwa Raia wa Marekani ana thamani kubwa kuliko mabarabara ya ghorofa na silaha za Nyuklia. Kwa sababu hayo yote yapo kwa faida ya Raia wa Marekani, na sio kwamba Raia wa Marekani yupo kwa faida ya hivyo vitu.
Theodore Roosevelt naye alisema; haki za Mali na haki za binadamu zinakwenda sawa. Lakini ikitokea haki hizi zinapihana basi haki za binadamu zipewe kipaumbele. Kwa sababu Mali zipo ili zimnufaishe binadamu, sio binadamu azinufaishe mali.
Kwa lugha nyepesi ili mswahili wa kawiada aelewe; ni kwamba, Kujenga miundombinu ya mikubwa huku wananchi wakitegemea mlo mmoja, huku raia wana hofu ya kutoa maoni yao, bado watu wanatekwa, kupotezwa na kuuawa bila uchunguzi, huku miili ya watu inaokotwa halafu serikali inaizika bila uchunguzi...
Asante Mwanza, Asante Tanzania.View attachment 1555631View attachment 1555632
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] you were saying'Anaenda tu kukamikilisha ratiba Mwanza kule huwaambii kitu kuhusu Magufuli. Na kwa kuwa Lisu amekuwa akiponda ujenzi wa reli ya mwendokasi kwenda Mwanza atapata jibu Leo wengi hawataenda mkutanoni
Tena Mwanza mjini linashushwa daraja la nguvu Busisi
Hayo ni maneno ya mtu asiyejitambua, nakupuuza tu!Kwani hujui hilo? Mbona hawara ya bibi yako mzaa babu yako anajua hilo? Lionee
Lissu hawajui watu wa Mwanza.
Wasukuma hawanaga shida.
Wasukuma ni wachangamufu
Wasukuma wanapenda kufurahi
Kwa wasukuma kipindi hiki cha kampeni ni kipindi cha burudani na kufurahi.
Ni kipindi cha kusikia porojo mbali mbali kutoka kwa wanaogombania (siyo wagombea bali wagombania) urais, ubunge na udiwani; wakijua fika ni porojo tu za kutafuta ulaji (kula siyo kura).
Ni kipindi cha kuwaona live wanamuziki na wasanii mashuhuri nchini bila kulipia kiingilio cho chote.
Hivyo aje Lissu watajaa, aje Membe watajaa, aje Lipumba watajaa, aje Mbatia watajaa hivyo hivyo.
Akija Magifuri hapo sasa ni balaa, hakuna uwanja utakaotosha: kwani kama ni wanamuziki au wasanii mashuhuri nchini huwa ameambatana nao karibu wote.
Taabu ya wasukuma, wengi wa hao wanaojaa kwenye hizo kampeni (burudani) huwa hawaendi kupiga kura kwani huko hakuna burudani yo yote. Wengi wao wala hawakujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura.
Wengi wa watakaopiga kura walishaamua kitambo nani watampa kura zao. Hawa huwezi kuwabadilisha maamuzi yao kwa porojo za mikutano ya kampeni na hivyo huwa wala hawahudhurii au kusikiliza porojo hizo. Hawa mtu wao ni Magufuri tu. Piga ua wao ni Magufuli na CCM basi.
Senkyu mwana.Mkuu nairudisha
Aisee duh bro kuna mtu kakushikia bunduki ukiwa unaandika auKingine Lisu amekuwa akiongelea kuwa watatoa bima ya afya Bure !! Mwanza ni mkoa mmoja wapo unaoongoza kwa watu wake kuwa na afya hawaugui ugui hovyo Hakuna malaria kule na hata wakiumwa wengi huwa hawaendi hospital wanatumia dawa za kienyeji .Hiyo bima yake ya afya ana kazi ya ziada kuielezea Mwanza waielewe!!!
una kitu cha kusema sasa? umeshuhudia upumbavu wako leo?Anaenda tu kukamikilisha ratiba Mwanza kule huwaambii kitu kuhusu Magufuli. Na kwa kuwa Lisu amekuwa akiponda ujenzi wa reli ya mwendokasi kwenda Mwanza atapata jibu Leo wengi hawataenda mkutanoni
Tena Mwanza mjini linashushwa daraja la nguvu Busisi
Wewe unaugua kwenye halmashauri ya kichwa na Una kisonono cha macho,Lissu hawajui watu wa Mwanza.
Wasukuma hawanaga shida.
Wasukuma ni wachangamufu
Wasukuma wanapenda kufurahi
Kwa wasukuma kipindi hiki cha kampeni ni kipindi cha burudani na kufurahi.
Ni kipindi cha kusikia porojo mbali mbali kutoka kwa wanaogombania (siyo wagombea bali wagombania) urais, ubunge na udiwani; wakijua fika ni porojo tu za kutafuta ulaji (kula siyo kura).
Ni kipindi cha kuwaona live wanamuziki na wasanii mashuhuri nchini bila kulipia kiingilio cho chote.
Hivyo aje Lissu watajaa, aje Membe watajaa, aje Lipumba watajaa, aje Mbatia watajaa hivyo hivyo.
Akija Magifuri hapo sasa ni balaa, hakuna uwanja utakaotosha: kwani kama ni wanamuziki au wasanii mashuhuri nchini huwa ameambatana nao karibu wote.
Taabu ya wasukuma, wengi wa hao wanaojaa kwenye hizo kampeni (burudani) huwa hawaendi kupiga kura kwani huko hakuna burudani yo yote. Wengi wao wala hawakujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura.
Wengi wa watakaopiga kura walishaamua kitambo nani watampa kura zao. Hawa huwezi kuwabadilisha maamuzi yao kwa porojo za mikutano ya kampeni na hivyo huwa wala hawahudhurii au kusikiliza porojo hizo. Hawa mtu wao ni Magufuri tu. Piga ua wao ni Magufuli na CCM basi.
Shika adabu yako! Wakurya wapo kila sehemu; milimani, tambarare, kwenye majiji na vijijini. Pia ni watu wanaojitambua hawabebwibebwi kwenda sehemu bila utashi wao.Mumekusanya bodaboda na wakurya wamilimani,
Na bdo chuma ndo kimeanz kazNa ukumbuke wa Lowasa ulikuwa ni jumla ya Chadema, NCCR na CUF.
Hii ni noma. Jpm hana pakutokean nimesikia analialia huko singida. Pumzi imekata.