Uchaguzi 2020 Yaliyojiri katika Kampeni za Tundu Lissu Jijini Mwanza

He
Ila siku hizi watu wamekata tamaa na CDM asee mana ile 2015 ilikuwa ukichelewa kidogo kufika eneo la tukio usingepata nafasi ya kusimama hapo jirani labda ukasimame Mita kama mia tatu hivi hata mgombea humuoni
Pesa hakuna
 
Watu nilisikia wakisema gari la vyombo vya mziki limezuliwa misungwi, airport kutoka ilikua ishu mara uwanjani umeme ukakatwa watu wakaendelea kunong'ona " kutokujiamini.
 
Lissu hawajui watu wa Mwanza.
Wasukuma hawanaga shida.
Wasukuma ni wachangamufu
Wasukuma wanapenda kufurahi
Kwa wasukuma kipindi hiki cha kampeni ni kipindi cha burudani na kufurahi.
Ni kipindi cha kusikia porojo mbali mbali kutoka kwa wanaogombania (siyo wagombea bali wagombania) urais, ubunge na udiwani; wakijua fika ni porojo tu za kutafuta ulaji (kula siyo kura).
Ni kipindi cha kuwaona live wanamuziki na wasanii mashuhuri nchini bila kulipia kiingilio cho chote.

Hivyo aje Lissu watajaa, aje Membe watajaa, aje Lipumba watajaa, aje Mbatia watajaa hivyo hivyo.

Akija Magifuri hapo sasa ni balaa, hakuna uwanja utakaotosha: kwani kama ni wanamuziki au wasanii mashuhuri nchini huwa ameambatana nao karibu wote.

Taabu ya wasukuma, wengi wa hao wanaojaa kwenye hizo kampeni (burudani) huwa hawaendi kupiga kura kwani huko hakuna burudani yo yote. Wengi wao wala hawakujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura.

Wengi wa watakaopiga kura walishaamua kitambo nani watampa kura zao. Hawa huwezi kuwabadilisha maamuzi yao kwa porojo za mikutano ya kampeni na hivyo huwa wala hawahudhurii au kusikiliza porojo hizo. Hawa mtu wao ni Magufuri tu. Piga ua wao ni Magufuli na CCM basi.
 
kwa watu walio soma vileee vitabu vya literature kuna mambo Yana reflect kabxaa mfano kwenye β€œAn Enemy Of The People” Tundu Lissu anasimama kama Dr. Stockman pia kuna β€œHis Excellency the Head of The State” Humu unamkuta Makonda na Magufuli By the way Literature is real
 
Nimefurahi sana Rais wetu kipenzi Mh Lissu leo kupata heshima hiyo kutoka nyumbani. Wasukuma si watu wa mchezo mchezo, wanajua kutofautisha mbivu na mbichi. Hongereni sana Mwanza. Hapo hakukuwa na wasanii wa ubongo fleva wala ubongo movie!! Hakika Mungu ni mwema sana.

Lissu baba una Mungu wako, na yuko hai.
 

Safi sana, hiyo inaitwa KUWEKA REKODI SAWA.. sio kudanganya wananchi hapa.
 
Anaenda tu kukamikilisha ratiba Mwanza kule huwaambii kitu kuhusu Magufuli. Na kwa kuwa Lisu amekuwa akiponda ujenzi wa reli ya mwendokasi kwenda Mwanza atapata jibu Leo wengi hawataenda mkutanoni

Tena Mwanza mjini linashushwa daraja la nguvu Busisi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] you were saying'
 
Wakijaa kwenu wapiga kura kwa co,kweli chama chakavu mmejaa mazumbukuku
 
Aisee duh bro kuna mtu kakushikia bunduki ukiwa unaandika au
 
Anaenda tu kukamikilisha ratiba Mwanza kule huwaambii kitu kuhusu Magufuli. Na kwa kuwa Lisu amekuwa akiponda ujenzi wa reli ya mwendokasi kwenda Mwanza atapata jibu Leo wengi hawataenda mkutanoni

Tena Mwanza mjini linashushwa daraja la nguvu Busisi
una kitu cha kusema sasa? umeshuhudia upumbavu wako leo?
 
Wewe unaugua kwenye halmashauri ya kichwa na Una kisonono cha macho,
Kubali ukweli tuu ubadilike usiwe kama mafarisayo haki wanaijua na kuiona lakini wanaiendea kinyume.
Ole siku ile itapofika na Lisuakaingia ikulu, uso wakoutauweka wapi?
Usiwadharau watu hawa ,Wasukuma ni watu waelewa na wenye uoni tena hawanaga matata wala ushabiki wa kipuuzi.
Ni watuwa kazi na wanaopenda haki.
 
Mumekusanya bodaboda na wakurya wamilimani,
Shika adabu yako! Wakurya wapo kila sehemu; milimani, tambarare, kwenye majiji na vijijini. Pia ni watu wanaojitambua hawabebwibebwi kwenda sehemu bila utashi wao.
 
Na
Na ukumbuke wa Lowasa ulikuwa ni jumla ya Chadema, NCCR na CUF.

Hii ni noma. Jpm hana pakutokean nimesikia analialia huko singida. Pumzi imekata.
Na bdo chuma ndo kimeanz kaz
Ss iv anapiga kweny kidonda ndo maana unaziskiq kelele za jiwe maana kaishiwa sera anabaki kuwaambia watu wazaane tu as if kwamba familia hazilijua jukumu hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…