Uchaguzi 2020 Yaliyojiri katika mapokezi na mkutano wa Tundu Lissu Sumbawanga

Anadai hakuna Uhuru, mbona yeye alipo hapo anaongea tena anatema mashudu na hakuna anayehangaika nae,
Ni uhuru upi huo Wa Lisu anaouzungumzia??
Kama mwakilishi wa wananchi aliyechaguliwa kwa kura anaweza kumiminiwa risasi mchana kweupeee na wahusika wasikamatwe, huo si uhuru, ni ukandamizaji, udikteta na utumwa...
 
Kama mwakilishi wa wananchi aliyechaguliwa kwa kura anaweza kumiminiwa risasi mchana kweupeee na wahusika wasikamatwe, huo si uhuru, ni ukandamizaji, udikteta na utumwa...
Sasa mbona Marekani huko Rais wa nchi aliuwawa mchana kweupe na mpaka leo hakuna aliyekamatwa.

Nino akino aliuawa mchana kweupe uwanja wa ndege hakuna aliyekamatwa.

Hakuna mtu aliyekuwa immuned na matatizo, binadamu yeyote anaweza patwa na lolote wakati wowote.

Nimekupa mifano hiyo kukuonesha kuwa tukio la lisu sio la kwanza kutokea hapa duniani kuna makubwa zaidi ya hilo na maisha yaliendelea.

Hatuwezi kurudishwa nyuma kila wakati kujadili tukio moja tu miaka yote as if hakuna mengine ya kujadili.

Ni kweli kapigwa risasi pole sana, but we have to move on na kwa sasa tunataka kusikia hoja za namna ya kukwamuana kiuchumi kama Taifa.
 
Sasa mbona Marekani huko Rais wa nchi aliuwawa mchana kweupe na mpaka leo hakuna aliyekamatwa.
Rais gani huyo? Acha kukariri, hiyo kazi mwachie jiwe anayejua hadi idadi ya samaki baharini na Gadafi kuwa Rais wa Kuwait!
 
Ni Yeye 2020 ✌🏾✌🏾✌🏾✌🏾✌🏾✌🏾✌🏾
 
Tofauti na zamani safari hii watz tupo tayari kulinda kura zetu na kuhakikisha waliochaguliwa kutangazwa.....

Tofauti na hapo THW HAGUE INAWASUBIRI WATU WA KWAMZA AKIWA MEKO KWA MATAMSHI MA MATENDO YAKE MAOVU
 
Hakuna Jiwe kutangazwa,HAKI haiombwi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…