Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Katika Mapokezi ya Tundu Lissu Dodoma na Singida

Yule ni Mkristo anayepokea Ekarist, kupiga magoti Dini zinafundisha ni unynyekevu.

Sasa Unataka kumfananisha Rais Magufuli na jamaa yenu msaliti wa Nchi anayeropoka tu matusi?
Muulize vizuri anawenge la kupiga hadi magoti
 
Hatuwezi kuwa na Amiri jeshi wa nchi kiwete, we uliona wapi?
Yeye alipenda au aliwaomba mumfanyie unyama wenu?
NB Viwete nao ni watu kama wewe unamtukana mamba kabla hujavuka mto

Hii hutatambua mpaka utakapo pata ulemavu
 
Naona watu wamepanga foleni barabarani kumuona mtu mwenye vyuma mwili mzima. Lissu aangalie wengine wamebeba sumaku hapo, wasije wakamvuta.
 
Lissu ndiye msaliti wa Nchi alikuwa anawatetea Mabeberu waendelee kutuibia rasmali zetu

Huku Mzalendo Rais Magufuli akatupigania akarudisha raslimali sasa Watanzania tunafaidi

Huyo msaliti wa Nchi atapigiwa kura na Mabeberu
Usaliti upo huko kwa mtukufu aliyeingia mikataba mibovu mipya ya siri ya kujinufaisha yeye na wewe mtetezi wake mkaahidi kugawa Noa kwa kila Mtanzania lakini mmewasaliti watanzania hakuna cha Noa pesa za mikataba ya siri mnaifaidi wenyewe huko chamwino na chato, usaliti wenu una mwisho mnaenda kuumbuka mda si mrefu
 
CCM kuna hali mbaya sana yaani.Tume isipotuokoa tunakwenda kuwa wapinzani wa kijani
 
Naona watu wamepanga foleni barabarani kumuona mtu mwenye vyuma mwili mzima. Lissu aangalie wengine wamebeba sumaku hapo, wasije wakamvuta.
Hujaacha kuvuta Bangi, kilema hakipigi hodi hata wewe unaweza kutoka hapo unaposhinda ukivuta Bangi ukapata ajali ukawekewa vyuma acha kujifariji kishetani mungu hajaribiwi
 
Yule ni Mkristo anayepokea Ekarist, kupiga magoti Dini zinafundisha ni unynyekevu

Sasa Unataka kumfananisha Rais Magufuli na jamaa yenu msaliti wa Nchi anayeropoka tu matusi?
Pale sio madhabahuni labda kama hukuona chanzo

Hatokaa kuisahau njombe, mpaka umauti

Unyenyekevu kipindi cha kampeni?
 
Taja rais yeyote duniani ambaye ni rangla!!
CCM bila Polisiccm bila Tumeccm bila mahakamaccm bila wakurugenziccm bila Msajiliccm bila uchakachuaji bila wizi wa kura ni weupe sana
 
Msaliti wa Nchi Lissu asingeyatetea Mabeberu kila Mtanzania angepata noah

Ila badala ya Rais Magufuli kutugawia noah ametuletea haya

Umeme kila kijiji Tanzania
Zahanati kila kijiji Tanzania
Elimu bure
Viwanda
Ajira
Reli ya kisasa
Barabara za lami kila kona

Huyo ndiye Magufuli kipenzi cha Watanzania, October 28 Magufuli ushindi ni 98%
 
Low thinking capacity ever forceed

Matunda ya kusali sana ni uponyaji namskuru Mungu kwa uponyaji
Unatakiwa unyoshewe kidole kwa matendo yako
Sio kila mara unajinyooshea rejea maisha Yesu
 
Wananchi wanasubiria kusikia sera uzito wa tool box
 
Hujaacha kuvuta Bangi, kilema hakipigi hodi hata wewe unaweza kutoka hapo unaposhinda ukivuta Bangi ukapata ajali ukawekewa vyuma acha kujifariji kishetani mungu hajaribiwi
Umeandika vizuri. Huyo simjui mm. Namjua Mungu
 
Karibu ukaya munyampaa!
Vivaa munyampa
Singida Guntuuu...
Tundu Lissu Guntuuu.....!
Kila la heri Mh. Rais mtarajiwa,njia nyeupe kwako.

Kumtia mtu moyo n sawa ila msimdanganye. Yeye uraisi hatapata neither you will be a member of parliament.
 
Njombe kuna hata diwani wa Chadema ? Yaani mkiambiwa Wapinzani hamjitambui mnaanza kulia lia

Msaliti wa Nchi Lissu akipata hata kura laki tano mkatambike
Pale sio madhabahuni labda kama hukuona chanzo

Hatokaa kuisahau njombe, mpaka umauti

Unyenyekevu kipindi cha kampeni?
 
Karibu ukaya munyampaa!
Vivaa munyampa
5Singida Guntuuu...
Tundu Lissu Guntuuu.....!
Kila la heri Mh. Rais mtarajiwa,njia nyeupe kwako.
Kumtia mtu moyo n sawa ila msimdanganye. Yeye uraisi hatapata neither you will be a member of parliament.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…