Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Katika Mapokezi ya Tundu Lissu Dodoma na Singida

Duuh !!! Nyomi kama hii haijawahi kutokea toka kampeni zimeanza kwa mgombea yoyote.
 
Duuh !!! Nyomi kama hii haijawahi kutokea toka kampeni zimeanza kwa mgombea yoyote.
 
Kuna usaliti Nchi zaidi ya kutetea Mabeberu yaliyokuwa yanatuibia madini yetu?
Wewe Abunwasi kweli Lisu amewekwa ndani akitetea wananchi wasiporwe madiniiaka hiyo leo unamwita
Lissu hajawahi kutetea Watanzania, yeye alikuwa anawatetea Mabeberu yaendelee kutuibia rasmali zetu

Lissu ni msaliti wa Nchi, Usaliti kwa Nchi ni laana atajuta milele
Mbona mlishindwa
 
Msaliti wa Nchi Lissu alikuwa anawatetea Mabeberu waendelee kutuibia rasmali zetu

Shukrani kwa Rais Magufuli kwa kupambana hadi akayashinda Mabeberu
Wewe Abunwasi kweli Lisu amewekwa ndani akitetea wananchi wasiporwe madiniiaka hiyo leo unamwita

Mbona mlishindwa
 
Kwanza hawa washabiki wa Lissu wangejiuliza tangu tuingie mfumo wa vyama vingi 1992, hakuna mgombea yeyote wa upinzani aliyeletwa na wazungu na kusaidiwa waziwazi kama Lissu, kuna nini nyuma ya pazia!?
Nawashukuru wazungu sana. Baada ya Lissu kupigwa risasi 16, Ndugai anasema Magufuli alizuia fedha za matibabu ili afe. Wazungu kwa huruma zao walimchukua akiwa Nairobi na kumtibu, na Mungu akanyoosha mkono wake Lissu ni mzima. Wenye roho za kishetani, hiyo imewauma na hata humu unaona jinsi wanavyotaabika.

Wangefurahi kumzika. Badala yake yu mzima na anapambana na watesi wake kwenye jukwaa la siasa. Mungu aliyemwokoa Lissu na kifo cha risasi 16 atamwokoa na dua zenu mbaya enyi wanafiki na wauaji!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…