Uchaguzi 2020 Yaliyojiri katika mapokezi ya Tundu Lissu leo Oktoba 19 mikoa ya Kilimanjaro na Arusha

Hahaha ccm watamuita Sheikh Ponda mahakamani kwa kesi iliyofutwa.
 
asante mkuu nilikuwa nasubiri kwa ham ntafika bila kukoma
 
CCM wanatamani kumtoa uhai
 
Hahaha Magufuli anatamani apande jukwaa la Tundu Lisu, kupendwa raha sana.

Yeye wanamjazia wanafunzi kesha shtuka pia.
 
Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania

Yule mropokaji na msaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert tu
 
Baada ya CDM kuingia madarakani sitakuwa na budi ya kufungua account yangu hapa Jf yenye ID ya majina yangu halisi pia yenye picha yangu halisi...maana sitakuwa na hofu ktk nchi ya Uhuru.
Wewe km mimi..... Na tutamsaidia sana Tundu Lissu kutengeneza nchi ya neema. Hii nchi imabarikiwa sn ila tuna ukoo wa panya kwa miaka 60 ndio shida hii lkn miaka hii mitano tumekua na huyu anayeendesha nchi kifamilia....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…