Uchaguzi 2020 Yaliyojiri katika mapokezi ya Tundu Lissu leo Oktoba 19 mikoa ya Kilimanjaro na Arusha

Tutege masikio maana mtikisiko wa leo utafika hadi mitaa ya Lumumba, mitaa ya Kinondoni, mitaa ya Shabaan Robert.

View attachment 1604601
WENYE AKILI TUNAJIULIZA KWANINI HIZI KOMBORA KUBWA KUBWA HIVI KUKUTANISHWA HAI. UKWELI NI KUWA MBOWE NA LISSU WANA HALI MBAYA SANA NA MBOWE AMESHAUPOTEZA UBUNGE WAKE, HALI LISSU YUKO KWENYE MASHINE ZA KUPUMULIA. NDIYO MAANA WANAPELEKA MAOMBI KWA ZITTO, NDIPO ZITTO AKAMDOKEZA MAALIM SEIF, ALIYEMSHAWISHI SHEIKH PONDA, NA WOTE WAMEKUBALIANA KUWA KATIKA HIZI KUMI ZA LALA SALAMA, NI LAZIMA WATIE NGUVU ZA PAMOJA NA KUHAKIKISHA WANANWASAIDIA AKINA LISSU NA MBOWE.
 
Lissu ni mwepesi sana kumshindanisha na JPM sema Chadema walikua hawana machaguo ya kutosha. Uchaguzi huu JPM Kama anashindana peke yake.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nacheka kwa dharau...(christianbella voice] .

Tafuta wimbo wa msaliti anamwimbia demu wake aliyemsaliti.....hivo namwakilisha magu kama bella anamwimbia demu wake Lissu...
 
CCM wajiandaa kumchoma Sindano ya Sumu Raisi ajae Tundu Lissu

Ndugu zangu Watanzania wapenda HAKI na Maendeleo ya WATU tumlindeni Tundu Lissu kwa hali na Mali
 
Kwanza Molemo nawapongeza sana mlisikiliza maoni yetu. Kazi nzuri tunaiona na imezaa matunda kweli kweli.

Mungu awabariki.
 
Hahhahaa mwaka huu mtaumia sana. Mlidhani wapinzani watagawanyika, sasa hao wanaungana tena hadharani.


Ujio wa ponda hasa tukielekea kampeni za kanda ya kusini na Dar ndio kifo chenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…