Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Katika Mapokezi ya Tundu Lissu na Mkutano Mkubwa wa Hadhara Geita Mjini

Huh, uko nyuma sana.
Na upo kiushabiki, maneno mliolishwa kwa vikao vyenu.
Mwaka huu kazi mnayo wana ufipa, mnaenda kugalagazwa vibaya sana. Ndio mfahamu Magufuli ni nani.
 
Tundu Lissu kiboko yao...... Mpaka sasa katembelea vijiji kibao ambavyo Hakuna rais amewahi kufanya hivo.... Bila shaka yupo humu yy au wasaidizi wake watamjulisha.....

Hatutaki tena magufuli dikteta na fisadi mkuu wa taifa na mharibifu wa uchumi wa nchi na watu
 
Kama unamfahamu mbona unasema hakuwa na Jeshi?
Sasa nchi za ughaibuni na huku kwetu ni nchi na mabara mawili tofauti

Kwanza sisi Watanzania ni waoga hatuwezi kufika level hizo

Pia sisi ni wazee wa ndio mzee kwa ajili ya uwoga wetu

Hata hivyo tukubali tu ccm itashinda ushindi wa kishindo
 
Hujitambui hata hujui alikuwa Rais wa nchi gani.
 
Mjini Geita usiku hotelini.

Mungu ambariki na kumlinda mja wake Tundu Antiphas Lissu. Amuepushe na wabaya na mabaya yote kwa Jina la Yesu Kristo!
 
Yeye kila kitu chatooooo
 
Siste
Geita Ina Wakazi elfu 8 Mia mbili hao wakati elfu kumi na Zaidi wametoka wapi?ndio wanaokuja na malori au?
Geita Ina Wakazi elfu 8 Mia mbili hao wakati elfu kumi na Zaidi wametoka wapi?ndio wanaokuja na malori au?
Umeniabisha kabsa sister πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚watu Elfu8200,πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚iyo sensa yamwaka gani?samahan lakni.......inamaana uwanja wamkapa unabeba geita7 nanusuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚dah hatari kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…