At Calvary
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 4,533
- 3,595
Huh, uko nyuma sana.Viongozi hawajali shida za wananchi wao
Viongozi hawajali mfumuko wa bei za bidhaa muhimu
Viongozi hawajali sheria za utumishi wa umma
Viongozi hawaoni haja ya kutoa ajira
Viongozi hawataki kupandisha mishahara wala madaraja
Viongozi wanaojali ukanda wao
Viongozi wasioheshimu utu wa watu
Viongozi wasiojali usalama wa raia wao
Viongozi walioshindwa kutekeleza sera yao kuu ya viwanda
Eti mwananchi fulani anasimama kutaka kumtetea[emoji1787]
Hii ipo Afrika pekee
Na upo kiushabiki, maneno mliolishwa kwa vikao vyenu.
Mwaka huu kazi mnayo wana ufipa, mnaenda kugalagazwa vibaya sana. Ndio mfahamu Magufuli ni nani.