Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Katika Mapokezi ya Tundu Lissu na Mkutano Mkubwa wa Hadhara Geita Mjini

Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Katika Mapokezi ya Tundu Lissu na Mkutano Mkubwa wa Hadhara Geita Mjini

Ukiona tweet za picha na video zinasuasua jiongeze kuna nini?
Chadema hoi , hawana chochote cha Ku tweet.
Tambua geita imetawaliwa na pesa na dhahabu. Smartphone za kutosha.
Uliza swali lingine.

3602B7E7-A73B-4E25-9470-B3C6DD5FD7A2.jpeg
 
Molemo bana!

Hujachoka tu kuandika thread kama hizi kuanzia mwaka 2010.

Nakumbuka wakati wa kampeni mwaka 2010 ulivyokuwa unaleta thread kuhusu Dk. Slaa.

Mwaka 2015 kwenye Uchaguzi Mkuu pia ukaleta tena thread kama hizi!

Mwaka huu hujachoka pia lakini tatizo lako kila ukileta thread kama hizi mgombea wako hupigwa chini!

Jiandae na mwaka huu kama ilivyotokea miaka ya nyuma!

Tatizo lako kubwa ni kuishi kwa kukariri mambo kuwa ni sawa kwa wakati wote.
 
Kama uliahidiwa U DC au U DAS imekula kwako, tafuta shamba uanze kulima na kuishi kwa jasho lako...
Hahahaha [emoji23].

Labda io iaplai kwako mkuu. Sisi mimi.

Kwa mwana CCM mwaka ameula!
 
Back
Top Bottom