URIO
1. Hakwenda wa DCI - na ndiyo maana anakwepa kusema tarehe na muda
2. Kingai, DCI na URIO walifanya kikao kwa DCI, cha ajabu hakuna tarehe ya kikao hicho ambacho Mahakama imefahamishwa ili kujiridhish,,,
Huyu komando huu ujasiri wa kuwakana wenzie kautoa wapi.wakati kituo cha Tazara aliteswa hadi akawa analia.yetu macho na masikio.Habari Wakuu,
Leo 01/ 02/ 2022 shahidi wa 12 Denis Urio anaendelea kutoa ushahidi wake kwenye kesi inayomkabili Mbowe na wenzake 3...
Wabongo bana kila mtu mwanasheria ukija kwenye mpira ndio usiseme.lengo la maswali yote hayo ni kumfanya shahidi aseme ukweli.wanajua kuna ukweli umejificha na sehemu nzuri ya kumbana shahidi ni mahakamani.Maswali mengine unaulizwa makusudi mwishowe unaweza hata kutukana.ushahidi wako ukatupwa.Siongelei ushabiki mkuu nazungumza kama mtaalam.
Hayo maswali hayalengi kuextract relevant information toka kwa shahidi ni kama wanapiga nae stori tu .
Maswali machache tu yangetosha.
Anaupata mwingi tu, huoni anavyojiamini?Huyu Urio anapata hata usingizi kweli, nafikiri usiku wake unakuwa wa mawenge sana.
Katiba Mpya sio kwa ajili ya M/Kiti chief, hii ninkwa ajili yako na kizazi chako, fungua akili hata kidogo ufikirie mbele, South Africa wangesema upuuzi kama huo Mandela alipowekwa ndani unadhani hali ingekuwaje?😂 😂 😂 😂 😂
Hivi huu ni mwezi wa ngapi kwa Mwenyekiti? Naona kila kitu cha katiba mpya kimesahaulika
Unafikiri yuko huko kwa sababu ipi?Katiba Mpya sio kwa ajili ya M/Kiti chief, hii ninkwa ajili yako na kizazi chako, fungua akili hata kidogo ufikirie mbele, South Africa wangesema upuuzi kama huo Mandela alipowekwa ndani unadhani hali ingekuwaje?
aisee, URIO anawekwa mtu kati tena - anayoyakataa leo kuna siku watu watakuja kuthibitisha itakuwa mbaya sana !!Kibatala: Ni kweli au si kweli hata unapokuja hapa Mahakamani Unasindikzwa na Maafisa Wa Jeshi Wenye silaha?
Wakili wa Serikali Robert Kidando: Mheshimiwa Jaji Shahidi Kila Saa anasema hayupo Kizuizini, Wakili aulize Maswali yenye Mantiki, Sioni Kwanini atoe allegations.
Kibatala: Mheshimiwa Jaji Sijatoa Allegations, Sisi tunauliza Maswali tukileta Mashahidi mbao watayathibitisha Kuwa Shahidi alikuwa Kizuizini, Isionekane hatukuuliza.. Kama Wakili Wa Serikali anachagua Swali la Kuuliza na namna ya Kujitetea, Basi wasiwe Wanaleta Kesi Mahakamani.
Nina uzoefu wa kutosha najua namaanisha nini.Wabongo bana kila mtu mwanasheria ukija kwenye mpira ndio usiseme.lengo la maswali yote hayo ni kumfanya shahidi aseme ukweli.wanajua kuna ukweli umejificha na sehemu nzuri ya kumbana shahidi ni mahakamani.Maswali mengine unaulizwa makusudi mwishowe unaweza hata kutukana.ushahidi wako ukatupwa.
Wewe msifie tu na uchakachuaji wake- tutweka ya Mwananchi na zingine jioni tulinganisheAsante Sana Suley. Hongera kwa kazi nzuri. Tuko tayari kusikiliza
Hivi Mh. Kibatala hana mtu anaweza kumlipia kwenda kozi fupi ya kudodosa- maana ni ZERO KABISAHabari Wakuu,
Leo 01/ 02/ 2022 shahidi wa 12 Denis Urio anaendelea kutoa ushahidi wake kwenye kesi inayomkabili Mbowe na wenzake 3.
Kujua Kesi ilipoishia fungua kiungo hiki: Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake. Shahidi wa 12 Luteni Denis Urio kuendelea kutoa ushahidi Februari 01, 2022
UPDATES
04:00 Jaji ameingi...
Sasa kwanini aidanganye mahakama Tena chini ya kiapo?Ukiona jambo huwezi kulitolea ufafanuzi sababu za kiusalama,unatakiwa kumweleza mheshimiwa Jaji!Lakini kuchagua kusema uongo ni contempt of court!Ikigundulika basi ushahidi wako wote ni unatupwa!Kwa aina ya Shtaka ni lazima Bwana Urio awe chini ya Ulinzi (kizuizini),hawezi kutokea Hotelini au Nyumbani hata siku moja