Yaliyojiri kesi ya Mbowe 01/02/2022. Luteni Denis Urio amaliza kutoa ushahidi wake. Shahidi wa 13 kuanza 04/02/2022

Yaliyojiri kesi ya Mbowe 01/02/2022. Luteni Denis Urio amaliza kutoa ushahidi wake. Shahidi wa 13 kuanza 04/02/2022

URIO
1. Hakwenda wa DCI - na ndiyo maana anakwepa kusema tarehe na muda
2. Kingai, DCI na URIO walifanya kikao kwa DCI, cha ajabu hakuna tarehe ya kikao hicho ambacho Mahakama imefahamishwa ili kujiridhish,,,

Mpaka hapo makomandoo wa Denis Urio hawana kesi ila goli la mkono linaendelea kutengenezwa kwa Mh Mbowe
 
USISHUHUDIE UONGO" Mungu alikataza kabisa sasa SHAHIDI LA MCHONGO LINAENDELEA KUAIBIKA MAHAKAMANI its just a matter of atalikana hata jeshi waajiri wake

Screen Shot 2022-02-01 at 10.32.11 AM.png
 
😂 😂 😂 😂 😂

Hivi huu ni mwezi wa ngapi kwa Mwenyekiti? Naona kila kitu cha katiba mpya kimesahaulika
 
Siongelei ushabiki mkuu nazungumza kama mtaalam.

Hayo maswali hayalengi kuextract relevant information toka kwa shahidi ni kama wanapiga nae stori tu .

Maswali machache tu yangetosha.
Wabongo bana kila mtu mwanasheria ukija kwenye mpira ndio usiseme.lengo la maswali yote hayo ni kumfanya shahidi aseme ukweli.wanajua kuna ukweli umejificha na sehemu nzuri ya kumbana shahidi ni mahakamani.Maswali mengine unaulizwa makusudi mwishowe unaweza hata kutukana.ushahidi wako ukatupwa.
 
Huyu Urio anapata hata usingizi kweli, nafikiri usiku wake unakuwa wa mawenge sana.
 
😂 😂 😂 😂 😂

Hivi huu ni mwezi wa ngapi kwa Mwenyekiti? Naona kila kitu cha katiba mpya kimesahaulika
Katiba Mpya sio kwa ajili ya M/Kiti chief, hii ninkwa ajili yako na kizazi chako, fungua akili hata kidogo ufikirie mbele, South Africa wangesema upuuzi kama huo Mandela alipowekwa ndani unadhani hali ingekuwaje?
 
Unafikiri yuko huko kwa sababu ipi?
 
Ahahah huyu urio napenda anavyojiamini na kujibu maswali..! Ameiva
 
Kibatala: Ni kweli au si kweli hata unapokuja hapa Mahakamani Unasindikzwa na Maafisa Wa Jeshi Wenye silaha?

Wakili wa Serikali Robert Kidando: Mheshimiwa Jaji Shahidi Kila Saa anasema hayupo Kizuizini, Wakili aulize Maswali yenye Mantiki, Sioni Kwanini atoe allegations.

Kibatala: Mheshimiwa Jaji Sijatoa Allegations, Sisi tunauliza Maswali tukileta Mashahidi mbao watayathibitisha Kuwa Shahidi alikuwa Kizuizini, Isionekane hatukuuliza.. Kama Wakili Wa Serikali anachagua Swali la Kuuliza na namna ya Kujitetea, Basi wasiwe Wanaleta Kesi Mahakamani.
aisee, URIO anawekwa mtu kati tena - anayoyakataa leo kuna siku watu watakuja kuthibitisha itakuwa mbaya sana !!
 
Wabongo bana kila mtu mwanasheria ukija kwenye mpira ndio usiseme.lengo la maswali yote hayo ni kumfanya shahidi aseme ukweli.wanajua kuna ukweli umejificha na sehemu nzuri ya kumbana shahidi ni mahakamani.Maswali mengine unaulizwa makusudi mwishowe unaweza hata kutukana.ushahidi wako ukatupwa.
Nina uzoefu wa kutosha najua namaanisha nini.
 
Kwa aina ya Shtaka ni lazima Bwana Urio awe chini ya Ulinzi (kizuizini),hawezi kutokea Hotelini au Nyumbani hata siku moja
 
Kwa aina ya Shtaka ni lazima Bwana Urio awe chini ya Ulinzi (kizuizini),hawezi kutokea Hotelini au Nyumbani hata siku moja
Sasa kwanini aidanganye mahakama Tena chini ya kiapo?Ukiona jambo huwezi kulitolea ufafanuzi sababu za kiusalama,unatakiwa kumweleza mheshimiwa Jaji!Lakini kuchagua kusema uongo ni contempt of court!Ikigundulika basi ushahidi wako wote ni unatupwa!
 
Back
Top Bottom