Yaliyojiri kesi ya Mbowe 01/02/2022. Luteni Denis Urio amaliza kutoa ushahidi wake. Shahidi wa 13 kuanza 04/02/2022

Mashahidi wa mchongo huwa.kabla ya kwenda mahakamani wanapewa maneno (wanafundishwa)ni kitu gani waseme au wajibu wakati wa.cross examination ya upande.wa.mashtaka.Shida imekuwa ni pale wanapokumbana na mawakili wa utetezi.Wengi wameamua kugoma kwenda mahakamani kutoa ushahidi wa uongo.Harafu huyu jaji mbona hawalazimishi kupeleka mashahidi wakati wana.orodha ndefu ya mashahidi ?.Kweli.jaji.anawabeba sana na wala hajari kama kuna watu wanasota ndani.ya.kuta za.magereza.
 
Ninamuona urio the best witness, maana Kwanza ameitendea haki taaluma yake Ni komando kwel kwel, amekwepa mitego karib yote na witness wake hata mm binafsi imenisaidia kujua kuwa kumbe hii kesi haikukosewa, ilikuwa Ni lazima maana hakuna mtu ambae yupo juu ya sheria,

Kitu kingine imemsaidia pia judge kujua kuwa yapo mambo Ni kwel kabisa yamefanyika, yaan Ni kwel kulikuwa na mawasiliano baina ya watuhumiwa na urio, na kwa mazingira haya maona kabisa kesi Ni tam sana, mm Sina haja Nan atashinda Ila nahitaji tu kuwe na free game, tulisema hum ndan kuwa hizi kesi zimalizwe kisiasa(mbowe na sabaya) watu wakasema ohooo sabaya jambazi, haya Sasa ngoja uone kinachotokea huko mbele
 
Sasa kwanini aidanganye mahakama Tena chini ya kiapo?Ukiona jambo huwezi kulitolea ufafanuzi sababu za kiusalama,unatakiwa kumweleza mheshimiwa Jaji!Lakini kuchagua kusema uongo ni contempt of court!Ikigundulika basi ushahidi wako wote ni unatupwa!
Mkuu wap kasema uongo?? Chanzo kipi kinasema uongo, leteni uthibitisho, hum ndn mtu anaweza akazushaaa tu Jambo halafu Bila ushahid kwa sabba za intereste za watu wakalichukuwa hvyo Bila hata kuhoji, haya semen Sasa uongo Ni upi??
 
Uongo wa kudondokea pua huu
 
Kwani hapa tunamjadili Sabaya? Sabaya ameumiza na kukwapua watu mali, kweli kesi yake unataka iwe ya kisiasa? Alikuwa na shida ya siasa na nani ambaye ndiye anayemshughulikia leo?
 
Naomba utuambie katika ushahidi wote huu wa URIO ni wapi ambapo hakuacha mashaka? Kujua kwamba waliwasiliana na Mbowe wala si tatizo, kujua kwamba yeye URIO ndiyo alipendekeza kwa Mbowe amtafutie walinzi baada ya kumwona kavunjwa mguu na watu wasiojulikana haya ni sawa - tupatie sehemu ambapo unaona kabisa USHAHIDI wake umeacha pasi na shaka kwa Mbowe kupitia hao URIO anawaita walinzi alitaka kutenda kosa la UGAIDI la kudhuru viongozi wa umma akiwemo SABAYA.
 
kamkana baba yake mdogo, kamkana mwanae mchanga, ilibaki amkane na mkewe ila utetezi ukaona wamwache tu maana hali yake ya ki akili si nzuri.
Umesahau kuwa kamkana na mama yake mzazi kuwa hakwenda kumuona kizuizini 😂
 

Msingi wake hii kesi Ni Sabaya. Issue Ni kwamba Sabaya na mbowe wore wazame pamoja.
 
Kwani hapa tunamjadili Sabaya? Sabaya ameumiza na kukwapua watu mali, kweli kesi yake unataka iwe ya kisiasa? Alikuwa na shida ya siasa na nani ambaye ndiye anayemshughulikia leo?
Ohooo mkuu umejib vyema, naomba uelewe na ufungue uelewa kuw Hawa woteee yaan sabaya na mbowe walikuwa wanagombania nafsi yake, sabaya aliletwa for a mission, na mbowe alikuwa ana intercept mission, baada ya pande zote mbili kupambana sabaya akawini, mbowe akasema sawa huku umenishinda na je upande mwingine,?? Nakuhakikishia angekuwepo JPM kusingekuwa na kesi ya Mbowe Wala ya sabaya, ndo maana naita niza kisiasa mkuu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] URIO haamini alichokutana nacho yaan mweeeeh.
 
Kwan mkuu urio amekuja kutoa ushahidi wa kesi au amekuja kuthibitisha kuwa mbowe Ni gaidi?? Heb nijib hapa kwanza
 
Umesahau kuwa kamkana na mama yake mzazi kuwa hakwenda kumuona kizuizini 😂
nina uhakika asilimia nyingi tu kwamba baada ya hii kesi URIO hatakuwa na better terms kwa ndugu zake na kwenye ajira yake. kifupi jamaa ni wa kumwonea huruma sana kwa maisha yake ya baadaye. Unajua Luteni wa JWTZ kuchapwa na kina gudluck laaaah inaconfuse kichwa.
 
Thank u,
Denis urio, Denis urio, Denis urio,
Kwa namna yyte uliyoamua kutumika vby,
Karma ikawe mara 10 ktk kichw chako mwenyewe kabl hujalala ktk siku zako za mwisho,
Mungu saidia.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] URIO haamini alichokutana nacho yaan mweeeeh.
Mkuu urio karb 95% ya alichokutana nacho alikuwa anakijua zaidi ya alivyo kieleza, na ndo maana ktk re- examination, Wala hakuuliza maswal mengi, ndo ujue Sasa sheria Ni tactics and technical.. Ni Kama kibatala ameingia Cha kike bila kujua
 
Mkuu urio karb 95% ya alichokutana nacho alikuwa anakijua zaidi ya alivyo kieleza, na ndo maana ktk re- examination, Wala hakuuliza maswal mengi, ndo ujue Sasa sheria Ni tactics and technical.. Ni Kama kibatala ameingia Cha kike bila kujua
We jamaa ni bonge la mbumbumbu yaani mpk sisi tusiojua chochote kuhusu sheria tumeanza kupata mwanga lkn ww umeashupaza shingo utadhani unafuatilia hii kesi peke yako.
 
I think it's the right time for the prosecution to consider if to continue with is of the best interest of justice and their personal reputation. It's clear that the changes are bogus. The person to be taken to task and accountable are the Four Musketeers.
 
Thank u,
Denis urio, Denis urio, Denis urio,
Kwa namna yyte uliyoamua kutumika vby,
Karma ikawe mara 10 ktk kichw chako mwenyewe kabl hujalala ktk siku zako za mwisho,
Mungu saidia.
Mkuu Kwan urio kafanya kosa lipi?? Jaman dua la kuku halimfikii mwewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…