Kamkana baba yake mdogo, kamkana mwanae mchanga, ilibaki amkane na mkewe ila utetezi ukaona wamwache tu maana hali yake ya ki akili si nzuri.Leo huyu shahidi wa mchongo anamaliza ushahidi wake!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kamkana baba yake mdogo, kamkana mwanae mchanga, ilibaki amkane na mkewe ila utetezi ukaona wamwache tu maana hali yake ya ki akili si nzuri.Leo huyu shahidi wa mchongo anamaliza ushahidi wake!
Ninamuona urio the best witness, maana Kwanza ameitendea haki taaluma yake Ni komando kwel kwel, amekwepa mitego karib yote na witness wake hata mm binafsi imenisaidia kujua kuwa kumbe hii kesi haikukosewa, ilikuwa Ni lazima maana hakuna mtu ambae yupo juu ya sheria,URIO
1. Hakwenda wa DCI - na ndiyo maana anakwepa kusema tarehe na muda
2. Kingai, DCI na URIO walifanya kikao kwa DCI, cha ajabu hakuna tarehe ya kikao hicho ambacho Mahakama imefahamishwa ili kujiridhisha.
3. URIO anajichanganya kuhusu miamala ya anayodai alitumiwa na Mbowe, sms pamoja na hiyo Telegraph - hazijaonyesha moja kwa moja ni Mbowe ndiye aliyekuwa anatuma na kuchati ya URIO.
4. Katika Ushahidi wote URIO anaonekana yeye ndiye mwanzilishi wa mada zote - vi sms vingi kavianzisha yeye kwa mfano - kaka ongeza fungu, kaka mtu tatu ana nne ni muhimu etc
5. URIO pamoja na kuwa ni Ofisa wa JWTZ, aliona ni muhimu sana kumtafuta DCI ali ampe riporti ya uhalifu wa Ugaidi badala ya kwanza kuliport kwa line commander wake - kutokana na UZITO wa jambo lenyewe - UGAIDI - na baada ya ktuoa report ndipo JWTZ iwasiliane na Police - DCI (Vyote ni vyombo vya usalama)
6. URIO kwa mara kadhaa ameiambia mahakama kwamba kina Adamoo si Magaidi, ni watu wazuri na alikuwa anawatafutia kazi ya Ulinzi - hadi wanatoka makwao walijua ni ULINZI na si UGAIDI.
7. URIO ameshindwa kuthibitisha UGAIDI wa Mbowe kwa kila kipengele - hii ni pamoja na kula njama wakiwa wawili - Mbowe na URIO - kwa sababu ni watu wawili tu wa kuthibitha hayo ni URIO ila kashindwa kabisa.
8. URIO ameshindwa kutoa mtiririko wa ushahidi wake, ni ushahidi wa kujichanganya changanya bila kuwa na uhakika wa anayoyatolea ushahidi Mahakamani.
9. URIO kasema hajui Bastola, Vifaa ya ulipuzi vyovyote ambavyo Mbowe angetumia - kifupi ni shahidi mzembe, yawezekana ana matatizo ya akili - mawakili wa utetezi waombe kibali akapimwe akili ili mahakama ijuridhishe ukizingatia huu ni mwezi mchanga na kicheko chake hapo mahakamani jana.
10. Mahakama itupilie mbali ushahidi huu, URIO kashindwa kui convice mahakama pasi na shaka kwamba Mbowe alitaka kutenda UGAIDi
Mkuu wap kasema uongo?? Chanzo kipi kinasema uongo, leteni uthibitisho, hum ndn mtu anaweza akazushaaa tu Jambo halafu Bila ushahid kwa sabba za intereste za watu wakalichukuwa hvyo Bila hata kuhoji, haya semen Sasa uongo Ni upi??Sasa kwanini aidanganye mahakama Tena chini ya kiapo?Ukiona jambo huwezi kulitolea ufafanuzi sababu za kiusalama,unatakiwa kumweleza mheshimiwa Jaji!Lakini kuchagua kusema uongo ni contempt of court!Ikigundulika basi ushahidi wako wote ni unatupwa!
Uongo wa kudondokea pua huuTatizo ni kwamba Urio hata ndg zake wamesha achana nae kwa kitendo cha kuchoma wezie, kibitala na wenzake wameweza kupata taarifa nyetu kuhusu yeye na hio taarifa inatoka ndani ya familia yake, huyu John Urio ni chazo kikubwa cha kuvuja kwa taarifa zake, ndo maana anakasilika anjiuliza nani katoa hizo taarif?.......pia na jaji kaokoka anataka ajue mengi alio danganywa leo hi au kesho hu shahidi itakua kushine, njia ya muongo siku zote ni fupi
Ninamuona urio the best witness, maana Kwanza ameitendea haki taaluma yake Ni komando kwel kwel, amekwepa mitego karib yote na witness wake hata mm binafsi imenisaidia kujua kuwa kumbe hii kesi haikukosewa, ilikuwa Ni lazima maana hakuna mtu ambae yupo juu ya sheria,
Kitu kingine imemsaidia pia judge kujua kuwa yapo mambo Ni kwel kabisa yamefanyika, yaan Ni kwel kulikuwa na mawasiliano baina ya watuhumiwa na urio, na kwa mazingira haya maona kabisa kesi Ni tam sana, mm Sina haja Nan atashinda Ila nahitaji tu kuwe na free game, tulisema hum ndan kuwa hizi kesi zimalizwe kisiasa(mbowe na sabaya) watu wakasema ohooo sabaya jambazi, haya Sasa ngoja uone kinachotokea huko mbele
Naomba utuambie katika ushahidi wote huu wa URIO ni wapi ambapo hakuacha mashaka? Kujua kwamba waliwasiliana na Mbowe wala si tatizo, kujua kwamba yeye URIO ndiyo alipendekeza kwa Mbowe amtafutie walinzi baada ya kumwona kavunjwa mguu na watu wasiojulikana haya ni sawa - tupatie sehemu ambapo unaona kabisa USHAHIDI wake umeacha pasi na shaka kwa Mbowe kupitia hao URIO anawaita walinzi alitaka kutenda kosa la UGAIDI la kudhuru viongozi wa umma akiwemo SABAYA.Ninamuona urio the best witness, maana Kwanza ameitendea haki taaluma yake Ni komando kwel kwel, amekwepa mitego karib yote na witness wake hata mm binafsi imenisaidia kujua kuwa kumbe hii kesi haikukosewa, ilikuwa Ni lazima maana hakuna mtu ambae yupo juu ya sheria,N
Kitu kingine imemsaidia pia judge kujua kuwa yapo mambo Ni kwel kabisa yamefanyika, yaan Ni kwel kulikuwa na mawasiliano baina ya watuhumiwa na urio, na kwa mazingira haya maona kabisa kesi Ni tam sana, mm Sina haja Nan atashinda Ila nahitaji tu kuwe na free game, tulisema hum ndan kuwa hizi kesi zimalizwe kisiasa(mbowe na sabaya) watu wakasema ohooo sabaya jambazi, haya Sasa ngoja uone kinachotokea huko mbele
Umesahau kuwa kamkana na mama yake mzazi kuwa hakwenda kumuona kizuizini 😂kamkana baba yake mdogo, kamkana mwanae mchanga, ilibaki amkane na mkewe ila utetezi ukaona wamwache tu maana hali yake ya ki akili si nzuri.
Ninamuona urio the best witness, maana Kwanza ameitendea haki taaluma yake Ni komando kwel kwel, amekwepa mitego karib yote na witness wake hata mm binafsi imenisaidia kujua kuwa kumbe hii kesi haikukosewa, ilikuwa Ni lazima maana hakuna mtu ambae yupo juu ya sheria,
Kitu kingine imemsaidia pia judge kujua kuwa yapo mambo Ni kwel kabisa yamefanyika, yaan Ni kwel kulikuwa na mawasiliano baina ya watuhumiwa na urio, na kwa mazingira haya maona kabisa kesi Ni tam sana, mm Sina haja Nan atashinda Ila nahitaji tu kuwe na free game, tulisema hum ndan kuwa hizi kesi zimalizwe kisiasa(mbowe na sabaya) watu wakasema ohooo sabaya jambazi, haya Sasa ngoja uone kinachotokea huko mbele
Ohooo mkuu umejib vyema, naomba uelewe na ufungue uelewa kuw Hawa woteee yaan sabaya na mbowe walikuwa wanagombania nafsi yake, sabaya aliletwa for a mission, na mbowe alikuwa ana intercept mission, baada ya pande zote mbili kupambana sabaya akawini, mbowe akasema sawa huku umenishinda na je upande mwingine,?? Nakuhakikishia angekuwepo JPM kusingekuwa na kesi ya Mbowe Wala ya sabaya, ndo maana naita niza kisiasa mkuuKwani hapa tunamjadili Sabaya? Sabaya ameumiza na kukwapua watu mali, kweli kesi yake unataka iwe ya kisiasa? Alikuwa na shida ya siasa na nani ambaye ndiye anayemshughulikia leo?
.Uongo wa kudondokea pua huu
U are correctlyMsingi wake hii kesi Ni Sabaya. Issue Ni kwamba Sabaya na mbowe wore wazame pamoja.
Kwan mkuu urio amekuja kutoa ushahidi wa kesi au amekuja kuthibitisha kuwa mbowe Ni gaidi?? Heb nijib hapa kwanzaNaomba utuambie katika ushahidi wote huu wa URIO ni wapi ambapo hakuacha mashaka? Kujua kwamba waliwasiliana na Mbowe wala si tatizo, kujua kwamba yeye URIO ndiyo alipendekeza kwa Mbowe amtafutie walinzi baada ya kumwona kavunjwa mguu na watu wasiojulikana haya ni sawa - tupatie sehemu ambapo unaona kabisa USHAHIDI wake umeacha pasi na shaka kwa Mbowe kupitia hao URIO anawaita walinzi alitaka kutenda kosa la UGAIDI la kudhuru viongozi wa umma akiwemo SABAYA.
nina uhakika asilimia nyingi tu kwamba baada ya hii kesi URIO hatakuwa na better terms kwa ndugu zake na kwenye ajira yake. kifupi jamaa ni wa kumwonea huruma sana kwa maisha yake ya baadaye. Unajua Luteni wa JWTZ kuchapwa na kina gudluck laaaah inaconfuse kichwa.Umesahau kuwa kamkana na mama yake mzazi kuwa hakwenda kumuona kizuizini 😂
Mkuu urio karb 95% ya alichokutana nacho alikuwa anakijua zaidi ya alivyo kieleza, na ndo maana ktk re- examination, Wala hakuuliza maswal mengi, ndo ujue Sasa sheria Ni tactics and technical.. Ni Kama kibatala ameingia Cha kike bila kujua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] URIO haamini alichokutana nacho yaan mweeeeh.
We jamaa ni bonge la mbumbumbu yaani mpk sisi tusiojua chochote kuhusu sheria tumeanza kupata mwanga lkn ww umeashupaza shingo utadhani unafuatilia hii kesi peke yako.Mkuu urio karb 95% ya alichokutana nacho alikuwa anakijua zaidi ya alivyo kieleza, na ndo maana ktk re- examination, Wala hakuuliza maswal mengi, ndo ujue Sasa sheria Ni tactics and technical.. Ni Kama kibatala ameingia Cha kike bila kujua
Mkuu Kwan urio kafanya kosa lipi?? Jaman dua la kuku halimfikii mweweThank u,
Denis urio, Denis urio, Denis urio,
Kwa namna yyte uliyoamua kutumika vby,
Karma ikawe mara 10 ktk kichw chako mwenyewe kabl hujalala ktk siku zako za mwisho,
Mungu saidia.